Upepo wa usiku wa leo umeondoka na ule mbango wa Rais Magufuli

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Katika hali ya kushtua na kushtukiza mvua ilionyesha usiku wa leo ya ghafla iliyoambatana na upepo mkali imeng'oa kabisa kabisa na kulitupa mbali nguzo ya bango na bango lake lote lililopo eneo la river side (mandela road) oposite na petrol station ya gudal au karibu na ma tank ya azania.

Hili bango lilikuwakubwa sana na mara ya mwisho juzi lilikuwa na picha ya aliekuwa mgombe urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Magufuli.

Bango limejeruhi nyumba zilizokuwa pembeni jirani na kungoa baadhi ya ma paa yake na vibanda vilivyokuwa vimejengwa chini yake.

My take:
Kwa kuwa haya mabango yako chini ya jiji inatakiwa kama mwenye tangazo lake amemaliza muda wake yawe yanafuliwa hapo na kuwekwa pembeni hadi pale mdhamini atakapopatikana tena ndio yawekwe maana yanahatarisha usalama wa wanamnchi/wapita njia.
 
Back
Top Bottom