Upepo wa Motivational speakers, Vijana na NGOs, kilimo cha makaratasi, project za innovation kiteknolojia zinaishia wapi?

Jumamosi ya trh 19 walikuwa hapo Serena wakishawishi Vijana wakalime Vannilla.
Baba yangu mdogo analima Moro vanilla miaka kama mitano walikuwa wanauza kilo 100k,sasa hivi kilo 20k na kila siku bei inazidi kushuka.
 
Baba yangu mdogo analima Moro vanilla miaka kama mitano walikuwa wanauza kilo 100k,sasa hivi kilo 20k na kila siku bei inazidi kushuka.
Motivation speaker kasema kilo moja Ni laki 9....na kashauri Vijana hii ndio njia pekee ya kututoa kwenye umaskini
 
Sasa kama watumiaj ni dunia nzima..wew unalalamika nn kwamba youtubers wanaangaika hawnaa pesa. Hawnaa subscribers?..maana content zao hazina uhalisia.?ndo tunarud palepale...uhalisia ni kitu muhimu sana vinana kwenye project zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kwenye 'contents', ila jaribu kuwatembelea kwa walioko field kwa nini hawasogei?
 
DUNIA YA LEO KWENYE UJASIRIAMALI KUNA KITU KINAITWA 'OPM' yaani other people's mind other people's money hapo ndipo vijana wengi walipokwama na mkwamo ni mkubwa kinoma, na wazee siku hizi hawatoi connection tena coz vijana wengi hawaaminiki
 
Sasa hv vijana wanakuwa wachungaji,wanaanzisha makanisa.
Kuna DECI moja inakuja kupitia mgongo wa kilimo Cha Vanilla,Hawa jamaa wanasema vanilla inalipa sana,pesa nje nje,sasa wanataka uwafate wakupe shamba huko njombe ulime!!sasa Cha kuj iuliza kama vanilla ni mgodi wa dhahabu kwanini wao wasilime hayo mashamba wapige pesa wawe na mkwanja mrefu kama Daimond,au Bakheresa!!,
Kwamba wao ni wema na Wana upendo wanataka hayo mamilioni tuyapate wengi ndio maana wanataka kutushirikisha.!!I smell rotten fish,I don't fucking buy it!!!
Hapa nahisi kupigwa za us
 
DUNIA YA LEO KWENYE UJASIRIAMALI KUNA KITU KINAITWA 'OPM' yaani other people's mind other people's money hapo ndipo vijana wengi walipokwama na mkwamo ni mkubwa kinoma, na wazee siku hizi hawatoi connection tena coz vijana wengi hawaaminiki
Madhara ya ukoloni: KUTOAMINIANA ili tusijenge pamoja tujitenge na tusiungane very bad
 
Back
Top Bottom