Upepo noma

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,253
6,207
article-2333111-1A0EFD6C000005DC-482_634x895.jpg
article-0-1A0EFD08000005DC-732_634x934.jpg
article-2333111-1A0EFD19000005DC-727_634x923.jpg
article-0-1A0EDF65000005DC-352_634x799.jpg
 
Ingekuwa mvuto unafanana na tabia ya mtu huyu demu angetisha lakini lahaula haiwi hivyo!!! ukiingiza timu hapo ni kero kwa kwenda mbele yaani utaikimbia nyumba yako mwenyewe na kumuachia.
 
Mzushi wewe hata humpati unamchafua tu, huyo ni mke wa mtu na anajiheshimu kama mke

Huyu si Kim Kadarshian?Mke wa sasa wa Kanye West baada ya kumtosa yule jamaa wa BKLN basketballer?

Kama ni yy basi wewe Shine ndiyo ufute maneno yako maana nisemayo ni kweli tupu!Kacheza movie za utupu huyu!
 
Dah! Huyu mtoto kumuangaliatu nikilevi tosha, asifiwe muumba kwakazi nzuri.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom