beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Upepo mkali na mvua kubwa ambazo zimeendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa Nchini zimeathiri Miundombinu ya Umeme
Shirika la Umeme Nchini limeeleza kuwa hali hiyo imepelekea baadhi ya wananchi kukosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), imetoa tahadhari ya Mvua kuanzia Januari 22 - 25 kwa maeneo kadhaa Nchini yakiwemo Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Visiwa vya Unguja na Pemba