Upepo mkali unaovuma usiku huu 31.07.2021 kulikoni?

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
40,055
2,000
Bunju sokoni unavuma hatari, miti iliyokauka na majani ni kudondoka tu, nimetazama weather report, wanadai bunjub kwetu, mvua yaweza nyesha saa kumi na moja na kumi na kumi na mbili asubuhi, probability ni 50%..
Hawa TMA chance labda iwe 98% ndio inatokea.
 

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
40,055
2,000
Wanaume wa Dar bhana, upepo kidogo tuu na manyunyu imeshakuwa habari kubwa
Tulio nchi kavu tukiona hali kama hii hatujifikirii zaidi sisi bali tunawaza kwa ndugu na jamaa wanaofanya shughuli majini(baharini) & pamoja waishio karibu na fukwe itakuwaje.

Si mpaka madhara makubwa yatokee ndio uanze kuona ni jambo kubwa.
 

Mmea Jr

JF-Expert Member
May 20, 2016
320
1,000
Iringa town hapa kitung'u(baridi kali +upepo unaovuma kwa kasi ) bado kinakunguta vibaya , hapa napiga hesabu jinsi ya kunawa huo uso .
 

Goodguy

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
351
1,000
Wapendwa Jf haitumiwi na wana dar pekeake, unapoandika weka maelezo yanayojitosheleza.

Yani umeandika kana kwamba wote humu tunaishi mtaa mmoja.
 

andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,292
2,000
Habari.

Hivi sasa ni saa 03:00Hrs, usiku wa manane na imani kama ulikuwa macho kumekuwa na upepo mkali kupita kiasi.Sasa hapa pakikucha mamlaka ya hali ya hewa watakuja na neno gani sababu huwa ni watu wa kutabiri ila mara nyingi wamekuwa wakienda nje na vinavyotokea.

Huko ulipo sasa maeneo hayo umeshuhudia upepo huu au baadhi ya maeneo ndio tumekumbwa na upepo huu?

Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Nilikuwa Kigamboni imebidi niamke nishangae maana si kwa upepo ule.Nilifikiri ni TSUNAMI
 

Baraja Gang

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
1,532
2,000
Umenistua saa nane na nusu hivi, nikadhani ni mvua kubwa inanyesha nikaenda kutoa viatu nje kumbe ni upepo tu. Nikawa nahofia miashoki iliyo jirani na nyumba nayoishi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom