habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,743
Mabibi Na mabwana heshima kwenu
Upepo huu wa MCC Na wabunge wa CCM kuburutwa kunako mahakama, kumefunika Kila kitu, ikizingatiwa tulikuwa kwenye uchaguzi Zenji, Na ndio ilikuwa habari kuu, lkn sasa kimbunga hiki kimesababisha
hatusikii tena kuhusu majipu, hatusikii kuhusu kushtukiza, hatusikii kuhusu Shein baada ya kuapishwa anaundaje serikali yake, Na hii yote nadhani ni kupumbazwa kwa watanzania ili CCM wafanye yao kule zenji, tukija stuka tayari tunakuwa tushaliwa,