Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,022
- 54,306
Ndiyo Ukweli WenyeweWataachana tu hata ukiwatetea π
Nasema Uongo Ndugu Zangu
π£πππΆππ
Ndiyo Ukweli WenyeweWataachana tu hata ukiwatetea π
Nimewapenda bureee Mr and Mrs David
Mungu awazidishie imani na upendo.... wadumu maisha yao yote.
View attachment 1751983
View attachment 1751986
View attachment 1751988
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Si kila mke ni mwema
Wanawake bwana sasa utamtuzaje bila kumpa helaππ€£πMke ni kitu cha thamani na ili adumu anahitaji matunzo
Wewe hata usipompa pesa lakini ukaweza kumtunza kila kitu ni shwari