Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Mbutananga kaolewa na hechibii moja matata la kisukuma wahenga walinena kila Jambo na wakati wake nampongeza mno mbutananga aisee.
Rest na Rachel bado wanachambana, huwa wanatulia na kuanza upya Yani ni ka wote ni mwezi mchanga
Hahahaa mbutananga wakiachana tu na mumewe anamfungulia kesi ya kumbaka sjui anatumiaga nn yule mama dah....kwaivo unataka kuniambia yule jamaa alomuoa resty alikuwa akiishi ktk ile nyumba ya baba wa mtoto mkubwa wa resty? Baada ya kuchukuliwa ndo kuanza kutafuta nyumba nyingine ya kupanga? Maisha ya isnta raha saana
 
Maisha yanaenda kasi sana, ila kiukweli kuishi na mwanamke mwenye hela na kakuzidi umri tusidanganye huwa hakuna furaha!
Hapo dogo kapata ajira akichukua mafao yake tu nduki!
Na wala hatasubiri cha mafao wa pensheni! Mshahara wake ukizidi saana mwaka mmoja anajichomoa akafanye yake
 
Vijana wengi hawatongozi wanatafuta madalali wanaokua kiunganisho mfano umependa jimama andaa ka mshiko kidogo au ka ahadi kwa dalali kama aristotle,lokole au mashost wa mhusika etc dalali anamaliza mambo

Jimama akikupenda anaanza mazoea na kampan yako mpaka anakufikia na hufurukuti pale
Hii ndio njia yenyewe na ukweli uliowazi mwenye kubisha na abishe tu huenda ubishi ni asili yake.
 
Mbutananga kaolewa na hechibii moja matata la kisukuma wahenga walinena kila Jambo na wakati wake nampongeza mno mbutananga aisee.
Rest na Rachel bado wanachambana, huwa wanatulia na kuanza upya Yani ni ka wote ni mwezi mchanga
Ila kumbuka Mbuta mwezi mchanga,mngemuuliza Lemutuz aliahirisha ndoa.
 
Hahahaa mbutananga wakiachana tu na mumewe anamfungulia kesi ya kumbaka sjui anatumiaga nn yule mama dah....kwaivo unataka kuniambia yule jamaa alomuoa resty alikuwa akiishi ktk ile nyumba ya baba wa mtoto mkubwa wa resty? Baada ya kuchukuliwa ndo kuanza kutafuta nyumba nyingine ya kupanga? Maisha ya isnta raha saana
Mbutananga atamupelekaje maana naona Sasa katulia na ndoa ya kanisani. Ila mwezi mchanga ukianza ni shida.
Yule jamaa kaolewa na resty analelewa kila kitu na kafeli law school, Ila na resty na huyo bwanake Hana SAUTi kupiga piga mapicha mwanaume kawa ka mjinga hivi ingetakiwa amushape resty Ila ndo Hana kitu maskini.
Resty kapanga tu hyo nyumba wanayoishi, hafu na dadake naye kibeten chake kimemkimbia had kanywa sumu eti in Rachel's voice
 
Kuna aina za mili bana hazipendezi kabisa! Kama rest anavojitutumuaga adi na kucheza utafikiri jumba linasogea kheeee
 
Hivi mbutananga alitakaga kuolewa na lemutuz kumbe, Ila wanawake wa huko uru kishimundu wengi huwa vichaa sijui shida Nini?
Uliza upewe story yao,inasemeka Lemutuz alitaka karatasi lakini akachemka sijui ilikuwaje kila mmoja ana hadithi yake.ILa kwa Mbuta nadhani na maupweke ya ughaibuni yanachangia maana kwa wenzetu ukijichanganya kidogo tu zinaachia na wao wanakufanya mtaji utapewa midawa mpaka ujute kuzaliwa.
 
Kuna aina za mili bana hazipendezi kabisa! Kama rest anavojitutumuaga adi na kucheza utafikiri jumba linasogea kheeee
Hahaaaa resty ule mwili unamfanya aonekane mtu mzima na mumewe ka mtoto hafu apunguze kumu post mumewe wako ka matahira flani hivi. Mola niepushie na mwili jumba aisee.
Resty hata akijamba ana post ig
 
Uliza upewe story yao,inasemeka Lemutuz alitaka karatasi lakini akachemka sijui ilikuwaje kila mmoja ana hadithi yake.ILa kwa Mbuta nadhani na maupweke ya ughaibuni yanachangia maana kwa wenzetu ukijichanganya kidogo tu zinaachia na wao wanakufanya mtaji utapewa midawa mpaka ujute kuzaliwa.
Mbutananga nadhani stress za wazungu hazikumuacha salama, hata lemutuz mwenyewe aliharibikiwa huko huko nje.
 
Lol ukute kaolewa lakini si kwa akili yake kwakweli siku si nyingi atakuja na kesi za kubakwa
Anaweza ndo akatulia sasa kama mwanaume akimuonea huruma akampenda na kumvumilia,ila kama ana yake ndo yallah tena.
 
Mbutananga nadhani stress za wazungu hazikumuacha salama, hata lemutuz mwenyewe aliharibikiwa huko huko nje.
Kikubwa ndo hicho,Lemutuz nampendaga sana kiukweli na huwa simuweki kundi la wehu hata anajielewa na jasiri
 
Hahaaaa resty ule mwili unamfanya aonekane mtu mzima na mumewe ka mtoto hafu apunguze kumu post mumewe wako ka matahira flani hivi. Mola niepushie na mwili jumba aisee.
Resty hata akijamba ana post ig
Mimi Resty akichezaga mziki huwa nakimbia mimi sijui huwa hajionagi ni mzito na sijui huwa amelewa muda wote,na wanaume wa kitanzania hawajui kumueleaza mtu ukweli japo unauma anakuacha unadhalilika ila lizuri sana lile lidada
 
Resty ni mzuri wa sura Ila amejiachia Sana na kuruhusu unene, hafu anapenda kumpost mumewe ngoja majimama ya mjini yamnyakue huyo mumewe ndio atajutraa.
 
Back
Top Bottom