Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya kifahari, magari na hujinasibu mumewe Dr. Baba Iman Baba wa mwanae mmoja humpa support kubwa Sana.

Tulizoea kuona akipost picha za mumewe huyo na yeye na mtoto. Alimpa sifa zoote. Huyu dada ni kioo cha jamii na Wanawake wengi yeye ndo 'role model' wao.

Mara ghafla naona tena Kafunga Ndoana kijana mwingine.

Je ni nini kilimpata yule Mume wake Baba Iman, Daktari wake wa maradhi yote?

Cc: warumi

ataacha kusagana?
 
Back
Top Bottom