Upendo na chuki ni vitu viwili vilivyo karibu sanaee?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upendo na chuki ni vitu viwili vilivyo karibu sanaee??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tasia I, Mar 3, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Poleni mabii na mababu, najua time hz watu mmechokaa!!
  me ni kama nimegundua ila nisaidieni kuhakiki hii ki2, hivi jamani upendo a chuki vinatenganishwa na lea ndogo sanae?
  manake nimeshuhudia upendo wa hali ya juu ambao kwa sasa umegeuka bonge la chuki.Watu haa kuonana hawataki.
  Nazungumzia romantic love hapa, sio Agape love.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndio...there is a very thin line between love and hate!
   
 3. Jahmercy

  Jahmercy Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ndio unajua mtu anapompenda mwingine anakuwa anatarajia kupendwa kama vile yeye anavyopenda so inapotokea kuwa tofauti na matarajio ikuwa ni rahisi sana kujengeka chuki kwa haraka sana
   
 4. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,129
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  chuki uja baada ya pendo kufa ni baada ya kujawa na wivu kwa nin uachwe au utendwe
   
 5. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  aisee!! i wish haya mambo yangekua decisional.yani mtu uamue kupenda au kutokupenda, ingekua poa sana.
   
 6. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,661
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Mi naona tatizo hapa watu wanafikiri lazima kinyume cha KUPENDA kiwe KUCHUKIA, mi naona tungefanya kinyume cha KUPENDA ni KUTOPENDA basi machuki yasiyo na maana baada ya mahusiano mazuri yasingekuwepo, maana naamini kabisa unaweza usipende kitu bila kukichukia..
   
 7. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #7
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfano halisi ni pale jambo fulani linapokuchosha. Ili lisikusumbue akili unalilook down unalidharau unaliona zaidi yakawaida hapo ndipo roho yakupenda inatoka na ile yakutokupenda inaingia. Kwahiyo hali ya chuki inakuwa na kipimo sawa na upendo ulioutoa ili ujiepushie mattention juu ya huyo uliyemdump alafu unamforget.
   
 8. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mh hate and love inaweza kwenda pamoja kweli!nafikiri huu ni msemo tu inapokuja kwenye ukweli ni vitu viwili tofauti
   
Loading...