Happy Valentine's Day kwa wote japo nasikia huko Pakistan wamekataza. Kuna vitu vingi vinavyoonyesha kuwa ama viongozi wetu wanatudharau na Mbaya zaidi hawajali kuhusu outcome ya hicho wanachokifanya. Katika Hali ya kawaida unawezaje kwa mfano kukusanya serikali na vyombo vyake na kutaka umma tunaokutazama kuamini kuwa waziri mkuu aliyethibitishwa kwa kishindo na bunge kuwa alikuwa hajui yeye ni mwenyekiti wa kamisheni ya madawa ya kulevya all this time!,
Kwamba handing over notes (transition period) haikuonesha kuwa kuna watu takriban 24 walio mliza hadi Pinda bungeni na hatimaye kuhukumiwa kunyongwa bali tuna wish hao walio nje nchi wanyongwe,
etc etc etc
Je kutokana na kauli ya mkuu mwenyewe kwamba muda wote waziri mkuu alifichwa na yeye hakuletewa mapendekezo, ni sahihi kuhitimisha nchi sasa ameachiwa kama anavyotamani?, as a result ndege yetu ya maendeleo bado inajiandaa ku takeoff kwa miaka 2??
Wananchi wakimbilie wapi kama TBC wanayoilipia kodi inayotafutwa kwa kumbizana mifugo kwenye ukame kila wakati inaonesha vipindi vya ubabe na vitisho kwa upande mmoja na kusifiwa watu wanaotakiwa kwenda mbele ya tume ya maadili kama kina makonda?.
Sorry kwa maandiko marefu ila it's so sad kutegemea kushinda vita ya umaskini kwa jeshi usilolithamini!