AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,077
Leo nimeumia mno na tukio moja la kusikitisha.... Roho imeniuma mno....
Kijana mmoja anaeishi na babake kafariki kwa mda wa sikut zaidi ya tisa ndani bila kutambulika... In brief huyo kijana anaishi hapo na babake...
inasemekana kua alikua anajisikia vibaya hivo akaenda hospitali... siku ya mwisho kuonana na babake alikua kamuaga babake kua anaenda kuchukua majibu (lab results) hospitali....
From assumption inaelekea siku hio kijana alirudi akajiliza na kufariki siku hio hio... Amegundulika baada ya babake kumgongea chumbani kwake ili eti aazime dish lililokua chumbani mwa huyo kijana - only to find hakuna response na harufu kali.. In short.. kafariki ana siku tisa... Huyo baba katiwa ndani....
MASWALI NINAYO JIULIZA....
Yaani nimeona nitoe hii story itusaidie turafakari sie twaishi vipi na watu wetu wa karibu hasa familia... Are we responsible kama tulivo kwa watu baki??? Je are spreading UPENDO vile ipasavo?? Na ni vitu gani vya ziada tunafanya kujenga ukaribu ndani na kati ya familia zeetu?? Hii habari imeniumiiiiiza mno.... I am so Sad... Dah!
AshaDii.

- Jamani tumefika hatua ya kusema hatuonani na mtu wa nyumba moja zaidi ya week na wala usifuatilie huyo mtu anaendelea vipi?
- Huyo kijana alikua na hali gani??.... inasikitisha mno kufikiria labda alikua na kiu... maybe njaa.... Mpaka anafariki...Dah!
- Huyo anae ishi nae ni babake mzazi... Huyo baba ni mtu wa dini saaana... na anajulikana kwa ushirikiano mzuri na watu.... Sasa ina maana gani ya huo ushirikiano IF YOU CAN NOT SPEAD THE SAME LOVE katika watu wako wa karibu na familia.....
- Hivi UPENDO umepotea to this extent???