ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
Unfortunately, ndio Tanzania tunayoitengeneza. Si umeona jinsi mtoto wa Wassira alivyopata advertise na kukabidhiwa kadi katika tukio lililoandaliwa maalum na katibu mkuu wa chama? Unadhani hakuna vija wengine wenye elimu na uwezo wa kuongea zaidi yake? Amefanya nini kudeserve heshima anayopewa kama si jina Wassira?