Upendeleo kwa Wanawake una Faida kweli Tanzania?

huo wote ni mfume dume. wanaume wamejiwekea mfumo utakaowarahisishia kuWATAFUNA bila huruma hao wanawake kwa kisingizio cha viti maalum. ona Selina kombani eti ndo waziri wa katiba na sheria khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Asilimia 50 wanayodai wanawake nilifikiri ni ya kupambana na wanaume, kumbe nia asilimia 50 ya kupendelewa!!! tena na principal yao ile ya 'pendelea nawe upendelewe'
 
Trustme
Hao wanaume uliowataja hapo wameshika hizo kwa competetition na si kwa upendeleo kama ilivyo kwa Makinda na VM si kwamba nakubaliana na matendo yao machafu wanayofanya la hasha bali nataka nifahamu positive results ya slogan ya Wanawake tukiwezeshwa Tunaweza. Suala la Beatrice Shelukindo kutishiwa kuawawa si jambo geni hata kwa wanaume linawatokea kama wakina mwakyembe walikoswa na visu majukwaani pia wapo waliokufa pia wake kwa waume wakitetea uzalendo wa nchi yetu.
 
Asilimia 50 wanayodai wanawake nilifikiri ni ya kupambana na wanaume, kumbe nia asilimia 50 ya kupendelewa!!! tena na principal yao ile ya 'pendelea nawe upendelewe'
he he heee there is hiden agenda hapa hebu fafanua kidogo tukupate vizuri.
 
huo wote ni mfume dume. wanaume wamejiwekea mfumo utakaowarahisishia kuWATAFUNA bila huruma hao wanawake kwa kisingizio cha viti maalum. ona Selina kombani eti ndo waziri wa katiba na sheria khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
kama mkuu wa kaya na Vick kamata eeh
 
Nia ya kuongeza uwakilishi wa wanawake bungeni ni nzuri na inaeleweka ila namna ya kuwapata hapa kwetu Tanzania ndio "kizungumkuti". 90 percent ya wanawake walio chaguliwa kupitia viti maalumu wanawakilisha interest za "wanaume zao" waliowingiza mjengoni. Hebu tufute viti hivi mpaka hapo tutakapoweza kuleta uwakilishi sahihi wa wanawake wa nchi hii.
 
Umeonaee wanatetea wanaume zao kuna mmoja alishawai kusema Eti Hajawai kuona Mwanaume kama Lowasa Tanzania hii.
 
Back
Top Bottom