Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hii inasikitisha na kuhuzunisha na inathibitisha kuwa mambo mengi yanapelekwa kuangalia nani yuko wapi hasa kiongozi wa nchi na si janga liko wapi.
Gifted Fool, Soma idadi sio kuishi a kwenye excel sheet
Nadhani bado uko usingizini, kasome heading ya thread!
Unapigana vita kati ya Idd amin na tanzania, kwenye mapigano live on the ground unapeleka vifaru kidogo, kwenye hakuna mapigano unapeleka vifaru vingi? Sehemu hakuna maambukizi unazuia watu wasiende huko, siyo kuwapa vifaa vingi.Mie pia ningefanya kama wao.
Mikoa isiyo na maambukizi napeleka vifaa vingi vya kujikinga na maambukizi.
Yenye maambukizi nnepeleka vichache.
Ingekuwa Tiba basi mikoa yenye maambukizi ingepewa kipaumbele.
Ahsante kwa taarfa.
Endelea kusalia Nyumbani Covid ipo mtaani.
Mie pia ningefanya kama wao.
Mikoa isiyo na maambukizi napeleka vifaa vingi vya kujikinga na maambukizi.
Yenye maambukizi nnepeleka vichache.
Ingekuwa Tiba basi mikoa yenye maambukizi ingepewa kipaumbele.
Ahsante kwa taarfa.
Endelea kusalia Nyumbani Covid ipo mtaani.
Kwahiyo unataka vifaa kinga vipelekwe Dar? PunbavuHii inasikitisha na kuhuzunisha na inathibitisha kuwa mambo mengi yanapelekwa kuangalia nani yuko wapi hasa kiongozi wa nchi na si janga liko wapi.
View attachment 1437091View attachment 1437092View attachment 1437093
Akitoka tunmadarakani.Ngoja nikatafute kiwanja chato aisee ila naogopa yale yaliyotokea kijijini kwao Mobutu maghorofa yameota majani ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kuzuia watu kutokwenda,ni rahisi kuwaambia watu tumieni vifaa kuepuka maambukizi.Unapigana vita kati ya Idd amin na tanzania, kwenye mapigano live on the ground unapeleka vifaru kidogo, kwenye hakuna mapigano unapeleka vifaru vingi? Sehemu hakuna maambukizi unazuia watu wasiende huko, siyo kuwapa vifaa vingi.
Acha kutishana,mchocheaji wa kwanza wa mifarakano ni taasisi na viongozi wenyeweTuwe waangalifu sana tunapoleta mambo kama haya, tusije tukawa waanzishaji na wachocheaji wa mfarakano bila ya kujitambua.
Ni wajibu kujiridhisha kwa kuangalia taarifa kwa makini na kuelewa vigezo vilivyotumika katika kugawa vitu kama hivyo. Tukishajiridhisha kwamba vigezo havikufuatwa, hapo ndipo inatubidi kupaza sauti, tena kwa ukali zaidi.
Je, katika mgao huo wa hivyo vifaa kuna vigezo vyovyote vilivyotumika, kwa mfano wingi wa watu wanaoishi katika eneo hilo?
Siwatetei kabisa serikali hii, kwa sababu wamekwishaonyesha upendeleo wa wazi, lakini pia sipendi hawa wawe ndio watuchochee kugawanyika kama taifa, kwa kujizuia kuwa sehemu ya mipango yao ya kutugawa.
Nchi gani zenye akili zimefungua mipaka?Ni ngumu kuzuia watu kutokwenda,ni rahisi kuwaambia watu tumieni vifaa kuepuka maambukizi.
Huu mchezo hauhitaji hasira mpwa na mbinu za mapambano ya kizama za Iddi Amini na Nyerere.
Baadhi ya inchi nyingi wamefungua mipaka yao,
Tuki report lugha za namna hii kwa @Mods tunapigwa ban ya wiki,wewe uliyetukana unaachwa uendelee kutukanaSa ulitaka ziende kwa babako shoga wa kule kijijini? Acha usenge basi