UPEMBUZI: Mapungufu makubwa katika uamuzi wa Lema....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Upembuzi huu unaukubali uamuzi wa kumrudisha Mhe. Lema jumbani kuwa ni sahihi lakini unapinga baadhi ya sababu ambazo majaji walizitumia kufikisha hatma hiyo:-

Sababu mbili ambazo ninazikubali za kuufuta uamuzi wa kumtengua Lema ni hizi hapa:-

1) Sheria ya vielelezo vya ushahidi ilikiukwa na hivyo Mahakama isingeliweza kuthibitisha kama waomba shauri kweli walikuwa wapigakura wa jimbo la Arusha.

2) Madai haya yalipaswa kufunguliwa chini ya ibara 26 (2) ya katiba ambayo imetoa mwanya wa mashauri ya namna hii badala ya kutegemea tu kifungu cha 111 ( 1) cha sheria ya uchaguzi.
Second the petition was not brought under Article 26(2) of the Constitution which permits any person to bring a public interest litigation. The Article provides:-
26(2) Every person is entitled, subject to the procedure provided for by the law, to institute proceedings for the protection of the constitution and legality.

Hizi sababu mbili zilitosha kutengua matokeo tajwa.

Lakini waheshimiwa majaji walipokwenda mbali na kudai yafuatayo naona walijikaanga kwa mafuta yao wenyewe:-

1) Mgombea tu ndiye afungue mashitaka na wala siyo wapigakura kupinga matokeo ya uchaguzi.

Since an election petition is not a public interest litigation we do not read the section to have done away with the rule of locus standi. We think in our view, section 111(1)(a) of the Act give rights to registered voter whose rights to vote have been interfered with or violated. In case violation effects the candidate it is for the candidate to challenge the election because his rights were violated. To give the section a broader interpretation that he has an absolute right to petition even where his rights were not interfered with is to defeat the well established principle of law of locus standi and indeed it does not sound well. We are not prepared to do so

Tatizo ni kuwa dhana nzima ya uwakilishi inapoteza maana yake. Wapigakura na wagombeaji lao ni moja na kutofautisha haki miliki ya matokeo kwa kuwatenga wapigakura kuwa hawahusiki na hivyo siyo waathirika na matokeo ya uchaguzi ni kinyume kabisa na dhana nzima ya maana ya demokrasia ya uwakilishi.

Kiongozi aliyepatikana kwa msingi wa kidemokrasia kaajiriwa na wapigakura. Sasa mahakama inaposema waajiri hawahusiki na matokeo ya usaili wao ni "absurd" kwa kuwaumbua na lugha ambayo wao wenyewe waliitumia.

2) Kutonukuu aya za hukumu ya Mgonja ambayo Mahakama ya Rufaa iliifuta!

Kutaja hukumu ya Mgonja na kuitengua (Kiujumla) bila ya kusema ni maeneo yapi ambayo wametofautiana nayo kwa kuyanukuu siyo sahihi kabisa. Ni haki yetu kujua ni maeneo gani ambayo hawakuridhika nayo kwa kuyanukuu na kutengua maeneo husika badala ya kuisaga yote kiujumla wake. The public has the right to know even that.......

3) Kutotathmini malalamiko ya wajibu rufani.

In our case the issue for consideration and decision is whether or not a registered voter under section 111(1)(a) of the Act has an absolute right to challenge the election result even where his rights were not infringed.

Hapa majaji walijikaanga kwa mafuta yao wenyewe....................

Hakuna mahali kwenye uamuzi huu ambapo walichunguza madai ya walalamikaji na kufanya haya mahitimisho kuwa wameyachimbua kutoka mifukoni mwao wenyewe...........

By the way......How did the Honourables Justices reached a verdict that the respondents' rights were not infringed while there was nowhere they investigated the respondents' claims?

My considered view is that the decision is a rightful one but some of the reasoning of the Justices are cockeyed...............difficu lt to swallow, really.

4) Mgongano wa wazi wa khoja za Majaji!

First, we wish to point out that election petitions are not in our view public interest litigation though they are matters of great public importance. This is because the relief sought would not benefit the entire society as a whole.

Tatizo hapo ni kuwa kama mahakama iliona hii kesi ya kupinga Ubunge wa lema ina mvuto mkubwa kwa jamii inakuwaje waione haina masilahi kwa jamii?

Hivi kweli nafasi ya nani anakwenda kutuwakilisha bungeni siyo suala ambalo lina masilahi makubwa kwa umma?

Majaji walipaswa wafafanua sana kwenye eneo hili na mahitimisho yao yanaonekana kutoa maamuzi ambayo yanahoji kama walikuwa kweli hawana mashinikizo ya kisiasa kutoka pande zote mbili husika na huu mgogoro.
 
Kwahiyo unaenda kukata rufaa...?????

Ulizia gharama kwanza itakuaje endapo utashindwa.
 
Pliz usiturudishe nyuma ndugu umesikia jana kwenye taarifa ya habari kuwa hizi kesi zinagharimu pesa nyingi sana ,unafikiri ni hela za nani zinazotumika ?

nivea upembuzi huu hauna uhusiano na hatma ya ubugne wa Lema ila inakhoji baadhi ya sababu walizozitumia kufikia uamuzi
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo unaenda kukata rufaa...?????

Ulizia gharama kwanza itakuaje endapo utashindwa.

SaidAlly soma polepole utagundua ya kuwa haya unayoyaandika hayahusiani na khoja zangu. isitoshe hakuna kitakachobadilika kutokana na sababu mbili nilizozitoa awali........................hii mada ni kwajili ya great thinkers only..........labda ma-mods waihamishie kule maana naona hii reasoning yenu ni ya mtaani......
 
Last edited by a moderator:
nivea upembuzi huu hauna uhusiano na hatma ya ubugne wa Lema ila inakhoji baadhi ya sababu walizozitumia kufikia uamuzi

funika kombe mwanaharamu apite,wache wafu wawazike wafu wao,heri tisa kuliko kumi nenda uri.natumaini umenielewa vizuri wewe ni malenga wapya a.k.a mkunaji mzuri hahahahaah
 
Last edited by a moderator:
Ruta; nakubaliana na uchambuzi wako. Mimi si mwanasheria - not even a bush lawyer- lakini ukiangalia hukumu inaelekea majaji hawakuona sababu ya kufuatilia hoja nyingine baada ile iliyokuwa ya msingi kupitiwa.

It is like having witnessed murder then one tries to seek proof that maybe it was suicide.
 
Imany John haya yanatoka wapi. Mbona wakurupuka hivyo?

Nani kakwambia nakurupuka? Nimejaribu kuweka hilo jambo ili umma ujue. Kwani kesi ya udhalilishaji hukumu yake si inajulikana?

Adhabu aliyokuwa kapewa lema ni ya udhalilishaji au ni adhabu ya kitu gani?

Ndiyo maana nikasema,niliyoyasema mwanzo.
Sijakurupuka kaka.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Rutashubanyuma naona sasaumerudi nyuma! The Court of Appeal is the final Court in determining judicial matters in the United republic of Tanzania, na hili lipo kwa mujibu wa Constitution yenyewe. Ili kufanikisha hili nadhani majaji wanaoteuliwa kutumika kwenye mahakama hii ni wenye busara na falsafa ya hali ya juu vinginevyo isingekuwa ya mwisho ki maamuzi.
Kama jopo hili litajikaanga kwa mafuta yake lenyewee kwa maana ya kwamba hata pamoja na kutumia nyenzo (references) za kesi husika kutoka mahakama kuu, basi inatubidi tusiwe na mahakama yoyote nchini kwa sababu we are lacking appropriate judicial institution!
 
Upembuzi huu unaukubali uamuzi wa kumrudisha Mhe. Lema jumbani kuwa ni sahihi lakini unapinga baadhi ya sababu ambazo majaji walizitumia kufikisha hatma hiyo:-

Sababu mbili ambazo ninazikubali za kuufuta uamuzi wa kumtengua Lema ni hizi hapa:-

1) Sheria ya vielelezo vya ushahidi ilikiukwa na hivyo Mahakama isingeliweza kuthibitisha kama waomba shauri kweli walikuwa wapigakura wa jimbo la Arusha.

2) Madai haya yalipaswa kufunguliwa chini ya ibara 26 (2) ya katiba ambayo imetoa mwanya wa mashauri ya namna hii badala ya kutegemea tu kifungu cha 111 ( 1) cha sheria ya uchaguzi.

Hizi sababu mbili zilitosha kutengua matokeo tajwa.

Lakini waheshimiwa majaji walipokwenda mbali na kudai yafuatayo naona walijikaanga kwa mafuta yao wenyewe:-

1) Mgombea tu ndiye afungue mashitaka na wala siyo wapigakura kupinga matokeo ya uchaguzi.

Tatizo ni kuwa dhana nzima ya uwakilishi inapoteza maana yake. Wapigakura na wagombeaji lao ni moja na kutofautisha haki miliki ya matokeo kwa kuwatenga wapigakura kuwa hawahusiki na hivyo siyo waathirika na matokeo ya uchaguzi ni kinyume kabisa na dhana nzima ya maana ya demokrasia ya uwakilishi.

Kiongozi aliyepatikana kwa msingi wa kidemokrasia kaajiriwa na wapigakura. Sasa mahakama inaposema waajiri hawahusiki na matokeo ya usaili wao ni "absurd" kwa kuwaumbua na lugha ambayo wao wenyewe waliitumia.

2) Kutonukuu aya za hukumu ya Mgonja ambayo Mahakama ya Rufaa iliifuta!

Kutaja hukumu ya Mgonja na kuitengua (Kiujumla) bila ya kusema ni maeneo yapi ambayo wametofautiana nayo kwa kuyanukuu siyo sahihi kabisa. Ni haki yetu kujua ni maeneo gani ambayo hawakuridhika nayo kwa kuyanukuu na kutengua maeneo husika badala ya kuisaga yote kiujumla wake. The public has the right to know even that.......

3) Kutotathmini malalamiko ya wajibu rufani.

Hapa majaji walijikaanga kwa mafuta yao wenyewe....................

Hakuna mahali kwenye uamuzi huu ambapo walichunguza madai ya walalamikaji na kufanya haya mahitimisho kuwa wameyachimbua kutoka mifukoni mwao wenyewe...........

By the way......How did the Honourables Justices reached a verdict that the respondents' rights were not infringed while there was nowhere they investigated the respondents' claims?

My considered view is that the decision is a rightful one but some of the reasoning of the Justices are cockeyed...............difficu lt to swallow, really.

4) Mgongano wa wazi wa khoja za Majaji!

Tatizo hapo ni kuwa kama mahakama iliona hii kesi ya kupinga Ubunge wa lema ina mvuto mkubwa kwa jamii inakuwaje waione haina masilahi kwa jamii?

Hivi kweli nafasi ya nani anakwenda kutuwakilisha bungeni siyo suala ambalo lina masilahi makubwa kwa umma?

Majaji walipaswa wafafanua sana kwenye eneo hili na mahitimisho yao yanaonekana kutoa maamuzi ambayo yanahoji kama walikuwa kweli hawana mashinikizo ya kisiasa kutoka pande zote mbili husika na huu mgogoro.

Tupe CV yako kwanza ndo tuchangie, usijekuwa we ni mmoja wa wale Majaji wa Lissu
 
haina maslahi kwa jamii sababu sio watu wote watanufaika na uamuzi utakao tolewa au uliotolewa....halfu sio tu kesi ya lema bali ni all election petitions, coz they tend to benefit a small group of individuals i.e members of a political party, or those supporting that party..so wengine wasio na time na politics hawanufaiki..mf mkereketwa wa TLP anafaidika nini? ni very simple and clear hapo hiyo ni principle iliyowekwa na mahakama mim nimekulezea uelewe tu..kimtindo..ova
 
funika kombe mwanaharamu apite,wache wafu wawazike wafu wao,heri tisa kuliko kumi nenda uri.natumaini umenielewa vizuri wewe ni malenga wapya a.k.a mkunaji mzuri hahahahaah
[MENTION]
nivea[/MENTION] Hii ni kali sana
 
haina maslahi kwa jamii sababu sio watu wote watanufaika na uamuzi utakao tolewa au uliotolewa....halfu sio tu kesi ya lema bali ni all election petitions, coz they tend to benefit a small group of individuals i.e members of a political party, or those supporting that party..so wengine wasio na time na politics hawanufaiki..mf mkereketwa wa TLP anafaidika nini? ni very simple and clear hapo hiyo ni principle iliyowekwa na mahakama mim nimekulezea uelewe tu..kimtindo..ova

Lyamber Kama ni hivyo basi tuifute katiba yote tuishi kama wanyama wa porini.......Kama suala ni ubinafsi tu ndiyo ututawale na kama ni hivyo kwa nini tunapigakura kama wanaonufaika ni wachache?
 
Last edited by a moderator:
3rd party hawezi akawa victim katika tort.

don-oba Katiba katika Ibara ya 26 (2) na sheria ya uchaguzi kifungu cha 111(1) (a) vinamtambua mpigakura ndiye mhimili wa kwanza wa uchaguzi sasa unamuita ni third party jambo ambalo hata huu uamuzi wa kipuuzi haukusema hivyo.................
 
Last edited by a moderator:
Tupe CV yako kwanza ndo tuchangie, usijekuwa we ni mmoja wa wale Majaji wa Lissu

Bramo CV inatoka wapi na huu uamuzi? Inawezekan majaji wa lisu waongelee hili swala. changia mada kama unaweza au vnginevyo uliza maswali kama huelewi........
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom