Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
- Thread starter
- #21
Ndugu yangu Rutashubanyuma naona sasaumerudi nyuma! The Court of Appeal is the final Court in determining judicial matters in the United republic of Tanzania, na hili lipo kwa mujibu wa Constitution yenyewe. Ili kufanikisha hili nadhani majaji wanaoteuliwa kutumika kwenye mahakama hii ni wenye busara na falsafa ya hali ya juu vinginevyo isingekuwa ya mwisho ki maamuzi.
Kama jopo hili litajikaanga kwa mafuta yake lenyewee kwa maana ya kwamba hata pamoja na kutumia nyenzo (references) za kesi husika kutoka mahakama kuu, basi inatubidi tusiwe na mahakama yoyote nchini kwa sababu we are lacking appropriate judicial institution!
Mulama Sahihisho ni kuwa maamuzi ya Mahakama ya Rufaa siyo mwisho hata kidogo..........
Last edited by a moderator: