Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,862
Hi pamoja na huyo jamaa yako hapo juu zote ni dini za shetani!Zipo zinazoruhusu ndoa za jinsia moja
Hi pamoja na huyo jamaa yako hapo juu zote ni dini za shetani!Zipo zinazoruhusu ndoa za jinsia moja
Huyo hawawez kupambana nae maana ni raia wa uturukWamemuua kinyama sana asee Daah! Hata huyo mchumbaake nae inabidi awe makini sana
h
HAPO NDIPO UTAKAPOSHUHUDIA DOUBLE STD ZA US.
'All animals are equal but some are more equal than others'
Mkuu Aaron achana na mambo ya copy & paste, hizo picha za mwili uliokatwa katwa hauhusiani na tukio la Khashoggi.. Mpaka sasa wachunguzi wa Uturuki wanasaka clues, juzi walipekuwa ubalozi mdogo alipoingia Khashoggi hawakuona cha maana, jana usiku wamepekua nyumba ya afisa wa ubalozi...Ni kweli kila dalili inaonyesha aliuwawa ubalozini lakini hizo picha sio za Khashoggi.. Uchunguzi bado unaendelea..
Na balozi kashatoroka kurudi kwao alijua kitamuwakia
Alitakiwa kufukuzwa kabla hawajamfukuza akaondoka ubalozini wakati maafisa upelelezi sijui usalama wakiwa wanataka kwenda kukagua kwakeBalozi hata afanye kosa gani, hawezwi kamatwa na Nchi anayofanyia kazi zaidi ya kufukuzwa.
Balozi ana kinga.
Alitakiwa kufukuzwa kabla hawajamfukuza akaondoka ubalozini wakati maafisa upelelezi sijui usalama wakiwa wanataka kwenda kukagua kwake