Upelelezi wabainisha Khashoghi ameuliwa na Saudia Arabia

Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
1,852
Likes
2,799
Points
280
Age
96
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
1,852 2,799 280
Wamemuua kinyama sana asee Daah! Hata huyo mchumbaake nae inabidi awe makini sana
 
B

Bravo Mike

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Messages
397
Likes
236
Points
60
B

Bravo Mike

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2014
397 236 60
Mkuu Aaron achana na mambo ya copy & paste, hizo picha za mwili uliokatwa katwa hauhusiani na tukio la Khashoggi.. Mpaka sasa wachunguzi wa Uturuki wanasaka clues, juzi walipekuwa ubalozi mdogo alipoingia Khashoggi hawakuona cha maana, jana usiku wamepekua nyumba ya afisa wa ubalozi...Ni kweli kila dalili inaonyesha aliuwawa ubalozini lakini hizo picha sio za Khashoggi.. Uchunguzi bado unaendelea..
 
J

Jasmine Mussa

Member
Joined
Oct 9, 2018
Messages
61
Likes
54
Points
25
J

Jasmine Mussa

Member
Joined Oct 9, 2018
61 54 25
Upelelezi Nchini Uturuki wabainisha kuwa Mwandishi wa Habari Mr. Jamal Khashoggi aliuliwa baada ya kuhojiwa, alipoingia Ubalozi wa Saudia Arabia kisha mwili wake ukakatwa mapande !!

Kwa hisani ya Rasi Ngimbwa....

My take:
Hii inamaanisha saudi arabia imemuua mwanahabari huyo aliyekuwa amekimbilia nchini uturuki akihofia maisha yake kutokana na kuingia kwenye mzozo na serikali ya saudi Arabia.. mr Jamal alikuwa mkosoaji kubwa wa sera za mambo ya nje za serikali ya saudi Arabia hasa mauaji ya raia yanayofanywa na ndege vita za saudi arabia huko yemen..

Mwanahabari huyu alikuwa katika harakati za kuoa na alienda na mchumba wake katika ubalozi wa saudi arabia ili apate clearance form ambayo zitaonyesha kuwa ana vigenzo na anastahili kufunga ndoa..

Mr Jamal alienda na mchumba wake ubalozini ila akamwacha nje ya ubalozi nae akaingia ndani,mchumba wake alipoona mume wake mtarajiwa amechelewa kutoka ndipo akatoa taarifa polisi na hali hiyo ikaamsha mgogoro mpya wa diplomasia kati ya uturuki na saudi Arabia...

Uturuki inasema ina ushahidi kuwa maafisa wa ubalozi huo wakimtesa na kumuua bw khashoggi pamoja na kumkakata vipande na kuundoa mwili wake toka ubalozini ndani ya mabegi maalum.. uturuki inasema Mr Jamal alivaa saa maalumu iliyokuwa imeunganishwa na simu yake aliyoiacha ndani ya gari na ikawa inarekodi video zote ndani ya ubalozi wa saudi arabia katika kile alichokuwa anatendewa...

Duru za kijasusi ndani ya uturuki zinasema siku ya tukio maafisa wa kidiplomasia 15 wa saudi waliwasili uturuki na ndege maalumu na waliondoka na mizigo maalumu ambayo hata hivyo haikukaguliwa airport coz begi za kidiplomasia uwa hazifanyiwi ukaguzi.. uturuki inaamini maafisa hao 15 walitumika kuuondoa mwili wa Mr Jamal toka uturuki hadi saudi arabia ndani ya viroba..

Marekani imeapa itaiadhibu kwa vikwazo saudi arabia iwapo itagundulika imemuua mwanahabari huyo, nayo saudi arabia imeapa kulipiza kisasi iwapo itawekewa vikwazo na marekani au NATO..

Wadau wengi wana wasiwasi kama marekani inaweza kuiadhibi Saudi Arabia ukichulia saudi Arabia ni mteja mkubwa wa silaha za marekani hasa ndege vita na mitambo ya ulinzi wa anga..

Marekani pia ina kambi kubwa ya kijeshi pale Saudi Arabia ikilinda maslahi yake ya mafuta..

Na Hillary A Silayo....... View attachment 901642
🤔🤔😢😢😢😭😭😭Hayo mapande ni yeye.
 
M

Mwambwaro

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
1,155
Likes
454
Points
180
M

Mwambwaro

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
1,155 454 180
Ila uchunguz Bado unaendlea haijathibitika kabisa Kama n Kweli ila kila kitu kinaonekana n saudia kahusika ata hivo hizo picture c za khashog
 
B

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2016
Messages
1,565
Likes
1,233
Points
280
Age
46
B

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2016
1,565 1,233 280
So sad kwakweli '' Raia wa saudia na wa tz nao ni baba mmoja Mama mmoja Aisee ... Yaani jinsi mwenzao alivyo fanyiwa unyama wa kiasi hicho wameshindwa hata Kuandamana "... pumbavu sananashangaa Mungu wa ardhi TAKATIFU. na yeye ametulia tu ".. (hizi imani nyingine hizi)
Ungemshangaa zaidi mungu wa taifa teule kukaa kimya hali Tel Aviv ikigeuka mji wa mashoga
 
B

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2016
Messages
1,565
Likes
1,233
Points
280
Age
46
B

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2016
1,565 1,233 280
Technology imesogea sana na hapa ndipo utakapoona umbumbumbu wa waarabu,yaani walishindwa kujiuliza kwamba huyu jamaa wana ugomvi nae na vyovyote iwavyo lazima amejiwekea ulinzi wake binafsi?
Mbumbu zaidi ni wale wanaochunguza tukio hilo, huku wakidai limerekodiwa
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
20,020
Likes
26,102
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
20,020 26,102 280
Ungemshangaa zaidi mungu wa taifa teule kukaa kimya hali Tel Aviv ikigeuka mji wa mashoga
hahaa ume panic .. topic ina wahusu saudia ndio maana nika mstaajabu mungu wao ...

ingekuwa ina wahusu Israel .. ninge mshangaa na mungu wao pia
 
Maxmizer

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
3,922
Likes
3,224
Points
280
Maxmizer

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
3,922 3,224 280
Kazi bure hii mijitu myeupe inajijua yenyewe walahi
Wanakutungia sheria ambazo wao wenyewe hawazifuati walahi
Dawa ni kutatua matatizo nchini kwako walahi
Usa na Saudia ni pete na kidole, usa kachacha maana mrusi anakuja juu, mchina naye usiseme walahi
Khashoggi ni marehemu, choose your battles wisely walahi
Nachagua kuishi walahi
BOB WINE ANA AKILI WALAHI
Walahi
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
3,746
Likes
1,506
Points
280
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
3,746 1,506 280
h
Upelelezi Nchini Uturuki wabainisha kuwa Mwandishi wa Habari Mr. Jamal Khashoggi aliuliwa baada ya kuhojiwa, alipoingia Ubalozi wa Saudia Arabia kisha mwili wake ukakatwa mapande !!

Kwa hisani ya Rasi Ngimbwa....

My take:
Hii inamaanisha saudi arabia imemuua mwanahabari huyo aliyekuwa amekimbilia nchini uturuki akihofia maisha yake kutokana na kuingia kwenye mzozo na serikali ya saudi Arabia.. mr Jamal alikuwa mkosoaji kubwa wa sera za mambo ya nje za serikali ya saudi Arabia hasa mauaji ya raia yanayofanywa na ndege vita za saudi arabia huko yemen..

Mwanahabari huyu alikuwa katika harakati za kuoa na alienda na mchumba wake katika ubalozi wa saudi arabia ili apate clearance form ambayo zitaonyesha kuwa ana vigenzo na anastahili kufunga ndoa..

Mr Jamal alienda na mchumba wake ubalozini ila akamwacha nje ya ubalozi nae akaingia ndani,mchumba wake alipoona mume wake mtarajiwa amechelewa kutoka ndipo akatoa taarifa polisi na hali hiyo ikaamsha mgogoro mpya wa diplomasia kati ya uturuki na saudi Arabia...

Uturuki inasema ina ushahidi kuwa maafisa wa ubalozi huo wakimtesa na kumuua bw khashoggi pamoja na kumkakata vipande na kuundoa mwili wake toka ubalozini ndani ya mabegi maalum.. uturuki inasema Mr Jamal alivaa saa maalumu iliyokuwa imeunganishwa na simu yake aliyoiacha ndani ya gari na ikawa inarekodi video zote ndani ya ubalozi wa saudi arabia katika kile alichokuwa anatendewa...

Duru za kijasusi ndani ya uturuki zinasema siku ya tukio maafisa wa kidiplomasia 15 wa saudi waliwasili uturuki na ndege maalumu na waliondoka na mizigo maalumu ambayo hata hivyo haikukaguliwa airport coz begi za kidiplomasia uwa hazifanyiwi ukaguzi.. uturuki inaamini maafisa hao 15 walitumika kuuondoa mwili wa Mr Jamal toka uturuki hadi saudi arabia ndani ya viroba..

Marekani imeapa itaiadhibu kwa vikwazo saudi arabia iwapo itagundulika imemuua mwanahabari huyo, nayo saudi arabia imeapa kulipiza kisasi iwapo itawekewa vikwazo na marekani au NATO..

Wadau wengi wana wasiwasi kama marekani inaweza kuiadhibi Saudi Arabia ukichulia saudi Arabia ni mteja mkubwa wa silaha za marekani hasa ndege vita na mitambo ya ulinzi wa anga..

Marekani pia ina kambi kubwa ya kijeshi pale Saudi Arabia ikilinda maslahi yake ya mafuta..

Na Hillary A Silayo.......
HAPO NDIPO UTAKAPOSHUHUDIA DOUBLE STD ZA US.
'All animals are equal but some are more equal than others'
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
1,376
Likes
700
Points
280
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
1,376 700 280
So sad kwakweli '' Raia wa saudia na wa tz nao ni baba mmoja Mama mmoja Aisee ... Yaani jinsi mwenzao alivyo fanyiwa unyama wa kiasi hicho wameshindwa hata Kuandamana "... pumbavu sananashangaa Mungu wa ardhi TAKATIFU. na yeye ametulia tu ".. (hizi imani nyingine hizi)
Msuala ya dini yamehusika wapi hapo kwenye kesi za kisiasa?
 
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
29,343
Likes
62,511
Points
280
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
29,343 62,511 280
Mkuu Aaron achana na mambo ya copy & paste, hizo picha za mwili uliokatwa katwa hauhusiani na tukio la Khashoggi.. Mpaka sasa wachunguzi wa Uturuki wanasaka clues, juzi walipekuwa ubalozi mdogo alipoingia Khashoggi hawakuona cha maana, jana usiku wamepekua nyumba ya afisa wa ubalozi...Ni kweli kila dalili inaonyesha aliuwawa ubalozini lakini hizo picha sio za Khashoggi.. Uchunguzi bado unaendelea..
Na balozi kashatoroka kurudi kwao alijua kitamuwakia
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,162
Likes
880
Points
280
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,162 880 280
Dunia haina haki habari zake (Khashoggi) huenda zikapita tu na kusahaulika.
 
sodoliki

sodoliki

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,576
Likes
727
Points
280
sodoliki

sodoliki

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,576 727 280
Waarabu hao , waliwatesa babu zetu hivi hivi, hutamuona faiza fox hapa akitia neno kwa miungu wake
 
Forum statistics

Threads 1,235,149
Members 474,353
Posts 29,213,259