Upelelezi wa wanawake dhidi ya wanaume

kunze

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
398
469
Unakuta kabisa,Dada umeolewa na mume Bora (Tena kwa ndoa ya gharama kwelikweli Wengine hadi wanaoana kwa 30+ mil) ili kuwa mwili mmoja kwa minajili ya kuzaa na kuijaza dunia Sasa badala ya kutumikia majukumu yako hayo ya msingi,wewe unajigeuza na kuwa Jasusi shupavu au kuwa mpelelezi/mkaguzi wa simu ya mumeo Why umpe kero na karaha mtoto wa mwenzio kosa lake kukuoa? Wadau,naomba mnipe uzoefu wenu hapo.
imekaaje hiyo
IMG_20190818_104640.jpeg
 
Tatizo la wanaume wengi wao wanapenda kukagua simu zetu, simu ikipigwa atataka kujua kila kitu. Ila yeye usishike simu yake.
Binafsi sishiki simu ya mtu, na yeye asishike ya kwangu.
ukikubali kuolewa maana yake umetolewa mahari ili uwe under control of some one, sasa na wewe unataka ucontrol???
 
Jamaal Kaua😂😂😂😂
Nilisoma habari moja mitandaoni:
Mwanaume kalala usiku huku mkewe anapekuwa simu yake, jamaa akamwambia ukimaliza kukagua uende ulilie huko nje sitaki kelele nataka nilale.
Kama unajua huna uvumilivu acha kukagua simu ya mpenzi, mme au mkeo.
 
Kama inaenda kwa kasi, nyinyi wanawake mnaotaka control & power anzeni kuwaposa vijana marioo na muwape hela ya mahari, hapo mtakuwa mmewaoa na mtakuwa na sauti juu yao
Hakuna anayetaka kuwacontol, na hakuna atakayeshika simu yako Kama wewe hushiki ya kwake.
Sina tatizo Kama mtu amehisi kitu kibaya ni ruksa kupekua simu ili upate ushahidi but at your own risk.
 
wanaolalamika ni marioo hao, haiwezekani simu ninunue mwenyewe afu mwanamke aanze kuichunguza, haki tena, nitampa mabanzi, mapenzi ya kufuatiliana siwezi
Ni sawa. Mimi nalalamika wale ambao hawataki simu zao zipekuliwe lkn yeye kutwa kupekua ya kwako. Pambav zao
 
Yaan ntasema kila siku na narudia tena sivumilii mwanaume kuchepuka mm kama unaweza kujificha jifiche nisijue ila za mwiz arobaini tuu nikijua ndoa hakuna ndoa ni paradiso jamani...kuna rafiki angu jana eti ananambia mwanaume wake kamtrack sijui kamkonektije uko eti cm na sms anaziona, nkamuuliza we zakwake zunakuja kwako kanambia hapana nkampa tuu hongera..ila kama nimm hakuna haja ya kua kwenye mahusiano na mtu usiemuamin.

Binafsi sikagui cm ya mtu angu mana najua ntajua tuu kama una madhambi ila pia kama unailinda sana wala sikuulizi nakaa pembeni nakuacha natafuta wanaume wanaojua mwanamke ninani hao ndo ua hawaangaiki..macho uwa yanawaponza afu mnashangaa mkidumbukia break pumbu..nyuchi ni zilezile ukihangaika sana ndo unakutana na Victoria😂
 
Yaan ntasema kila siku na narudia tena sivumilii mwanaume kuchepuka mm kama unaweza kujificha jifiche nisijue ila za mwiz arobaini tuu nikijua ndoa hakuna ndoa ni paradiso jamani...kuna rafiki angu jana eti ananambia mwanaume wake kamtrack sijui kamkonektije uko eti cm na sms anaziona, nkamuuliza we zakwake zunakuja kwako kanambia hapana nkampa tuu hongera..ila kama nimm hakuna haja ya kua kwenye mahusiano na mtu usiemuamin.

Binafsi sikagui cm ya mtu angu mana najua ntajua tuu kama una madhambi ila pia kama unailinda sana wala sikuulizi nakaa pembeni nakuacha natafuta wanaume wanaojua mwanamke ninani hao ndo ua hawaangaiki..macho uwa yanawaponza afu mnashangaa mkidumbukia break pumbu..nyuchi ni zilezile ukihangaika sana ndo unakutana na Victoria
je umeolewa? au unasema tu huku upo nje ya ndoa
 
Back
Top Bottom