Upelelezi kabla ya kuoa

Njia gani nzuri ya intelligence ya kutumia kabla ya kuoa yaani kupeleleza ukoo hata familia nzima ya mchumba wako.Kuna ndugu yangu anataka kuoa ukoo flani upo mbali na anapoishi.Karibuni great thinkers

Inategemeana na kabila. Kama ni demu la kichagga mtegeshee hela na mali, ukiona anashabikia sana kutaka kujuwa una akaunti ngapi, nyumba ngapi, huyo ni jinamizi la talaka.....piga chini mara moja. Hakuna mapenzi hapo.
 
Kwanza nikupongeze kwa kuwa smart, intelligence hapa ni ya muhimu sana. Utajua mengi sana kama ndiye au siye.
 
Inategemeana na kabila. Kama ni demu la kichagga mtegeshee hela na mali, ukiona anashabikia sana kutaka kujuwa una akaunti ngapi, nyumba ngapi, huyo ni jinamizi la talaka.....piga chini mara moja. Hakuna mapenzi hapo.
Kama demu wa kihaya itakuaje mkuu
 
Back
Top Bottom