Upelekwaji wa jeshi kubwa zanzibar ni matayarisho ya mauwaji ili kuwatuliza wa Bara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upelekwaji wa jeshi kubwa zanzibar ni matayarisho ya mauwaji ili kuwatuliza wa Bara?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sonara, Oct 12, 2010.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unayangaliyaje mazingira yanayotayarishwa ?inasemekana kuna mbinu za mauwaji zimepangwa zifanyike ili kuzuwia Bara wasifanye machafuko yatakapotolewa matokeo ya Uchaguzi.
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Hawa Al-Shabaab wanachekesha. Hivi hawawezi kuona contradiction kwenye vichwa vya habari vya gazeti lao. Serikali/CCM wanapeleka majeshi Zanzibar hata baada ya muafaka na maridhiano ya kuwa na serikali ya umoja. Kwa ajili gani? Sasa hapa atakayefanya nchi iwe Rwanda ni maaskofu au ni CCM na serikali yake? CCM wameishajiapiza kwamba ushindi ni lazima kwa gharama yoyote ile. Je, kwa maandalizi haya uhai wa waZanzibari si moja ya hizo gharama?
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Jingine lililiokuwa limeandika utumbo ni lile linaloitwa Al-Nuur, mi nashangaa sana mbona magazeti ya Wakristo hayaandiki vitu vya namna hii? Kwani kosa la Kakobe ni lipi? Mbona hakutaja mtu, yeye aliuliza na hotuba yake niliichuja kwa umakini kwa sikio la kusikia sio la kukebehi.

  Au ndo Jamaa kaona silaha yake ya mwisho ni kukimbilia DINI.....nashawishika kuamini hivyo
   
Loading...