johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,875
- 141,811
Kwa wale wahenga wa gazeti la Mzalendo la zamani ni wazi mnaikumbuka kona ya upekuzi wa sukununu. Nadhani angekuwepo leo hii angetufanyia kautafiti kadogo ka kutusaidia mbeleni, kwanini kura za mshindi wa pili wa 2015 imeshindikana kuzifikia?....ndio kusema kwa sasa Idd Azan ndiye anayekubalika zaidi Kinondoni kuliko Mtulia na Mwalimu na hii ina maana kubwa katika uchaguzi wa ubunge 2020 hapa jimboni. Tafakari!