Mgogoro wa Tanzania na Malawi kuhusu Mpaka katika Ziwa Nyasa umeishia wapi?

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Habari wakuu, inaonekana mara ya mwisho nchi zetu zilikutana mwaka jana kujadiliana kuhusu mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, na kweli kwa mwendo huu inaonekana mgogoro huu hautapata ufumbuzi mpaka mwisho wa dunia na wote tutakufa masikini wakati kuna utajiri mkubwa wa mafuta kwenye ziwa hilo, sasa kwa kuwa serikali zetu hazitaki kutoa maelezo ya nini kinaendelea tutakuwa tunapeana updates sisi wenyewe kutokana na vyanzo mbalimbali,

Mimi ninaanza kuweka hapa chini chanzo changu

Talks to resolve Tanzania, Malawi border dispute still ongoing: minister
Source: Xinhua 2018-05-14 21:36:13

DAR ES SALAAM, May 14 (Xinhua) -- Tanzania's Minister for Defense and National Service, Hussein Mwinyi, said on Monday negotiations to find a lasting solution over Lake Nyasa border dispute with Malawi were still continuing.

"The government of Tanzania is working tirelessly to ensure an amicable solution is found peacefully," Mwinyi told the National Assembly in the capital Dodoma.

Tabling his ministry's budget proposals for the 2018/2019 financial year, Mwinyi said: "We are doing all we can to ensure that the Lake Nyasa border dispute ends peacefully."

He told the House that the negotiations led by former Mozambique's President Joachim Chissano, South Africa's former President Thabo Mbeki and Botswana's former President Festus Mogae were still giving hope of reaching "an amicable solution."

The border dispute over Lake Nyasa between the two countries has been there for a long time but resurfaced in 2012 when Malawi awarded exclusive oil prospecting licenses in Lake Nyasa to two British oil companies.

Malawi has linked the dispute to possible oil and gas reserves in the lake and claims ownership based on the 1890 Heligoland agreement.

Malawi claims to own the whole lake in its entirety. On the other hand, Tanzania claims that the boundary is the median line of the lake based on principles of customary international law.

Tanzania and Malawi officials last met in March 2014 in the Mozambican capital Maputo for talks after the two countries nearly went to war over the lake following discovery of oil in the lake.

Lake Nyasa is home to 1,000 species of fish. It is located at the crossroads of Malawi in the west, Mozambique to the south and Tanzania to its northeast.

With an estimated fish stock of 168,000 tonnes, Lake Nyasa is a source of livelihood for nearly 10 million people.
Karibuni
 
hilo suala waachie watawala wapambane wenyewe maana sizan kama rasilimali za Taifa letu zilishatunufaisha kwa lolote lile.
NB. Vitu vyote wanavyofanya mf, Elimu bure, ujenzi wa miundombinu, uboreshaji wa sekta ya afya na mengine yote hutokana na kodi tutozwazo wala si rasilimali zetu.
 
hilo suala waachie watawala wapambane wenyewe maana sizan kama rasilimali za Taifa letu zilishatunufaisha kwa lolote lile.
NB. Vitu vyote wanavyofanya mf, Elimu bure, ujenzi wa miundombinu, uboreshaji wa sekta ya afya na mengine yote hutokana na kodi tutozwazo wala si rasilimali zetu.
Sawa nimewaachia viongozi wetu
 
Katikaa hotuba ya jana tumeambiwa tanzania haina mgogoro na nchi yeyote

Ukweli ni kwamba Tanzania na Malawi kuna mgogoro mkubwa kuhusu mpaka uliopo katika ziwa nyasa.

Haileti picha nzuri kwa rais kudanganya raia wake
 
Mkuu kwamba unataka kumaanisha tayali huyu kutoka zenjibia anaye tawala Tanzakiza na wadanganyika tumepigwa?
 
Back
Top Bottom