UPDATES za Bungeni leo walio karibu na TV zak watujuze kinachoendelea.

Princess Tee

Member
Apr 2, 2012
60
16
Wapendwa sio wote ambao tupo karibu na TV zetu kufuatilia mjadala unaoendelea bungeni leo.
Bahati mbaya hakuna uzi ambao unatoa updates. So tunaomba walio karibu watujuze badala ya kila mtu kuanzisha uzi wake bahati mbaya moderateur sijui hawajaona maana wameziachia tu bila kuziunganisha so inakuwa ngumu kufuatilia.
Asanteni
 
Kuna mama mmoja hapa anasema haya yaliyotokea kwenye operesheni ya tokomeza ujangiri yanachochewa na wapinzani hasa CDM eti ili serikali ianguke

CCM wabunge wenu hawana tofauti na vacuum
 
mlishaambiwa chadema msifikirie ni rais kumwondowa pinda kama mlivyo muondowa zitto,hizo ni ndoto cha mchana!
 
Wapendwa sio wote ambao tupo karibu na TV zetu kufuatilia mjadala unaoendelea bungeni leo.
Bahati mbaya hakuna uzi ambao unatoa updates. So tunaomba walio karibu watujuze badala ya kila mtu kuanzisha uzi wake bahati mbaya moderateur sijui hawajaona maana wameziachia tu bila kuziunganisha so inakuwa ngumu kufuatilia.
Asanteni

pata vitu hapa Arusha Mambo FM Radio - Home
 
Pinda kadhalilishwa laivu hapa.. Kwamba amepinda na awajibike..
OMG..
 
Sikiliza mwenyewe hapa: Arusha Mambo FM Radio - Home
Wapendwa sio wote ambao tupo karibu na TV zetu kufuatilia mjadala unaoendelea bungeni leo.
Bahati mbaya hakuna uzi ambao unatoa updates. So tunaomba walio karibu watujuze badala ya kila mtu kuanzisha uzi wake bahati mbaya moderateur sijui hawajaona maana wameziachia tu bila kuziunganisha so inakuwa ngumu kufuatilia.
Asanteni
 
mama malechela anakandamiza msumari...
Serikali yote ichukuliwe hatua LEO.
 
hawa wabunge watabwabwaja weee lakini hatua yoyote itakayochukuliwa. nchi hii hovyo kabisa.
 
muongozo umeombwa, mawaziri wote concerned hawapo bungeni, nahisi wapo mahali wanatafuta namna ya kuzima moto huu.
 
mh. Lema ndo kaomba mwongozo wa spika lakini cha kushangaza spika kautupilia mbali bila kutolea maelezo yoyote!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom