Updates: Yanayojiri kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,285
2,000
Hali ya ndani ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa ni shwari

Leo tumepita getini bila bugudha na hakuna polisi wa nje zaidi ya hawa maalum wa mahakama...
Bado hamjasema ,mbinu ya kuwazodoa mawakili wanaofanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi ili kuwa discourage haitafanikiwa kumnusuru Mbowe ,kitakachomuokoa ni yeye kutoshiriki uovu anaotuhumiwa nao
 

Stan Mashamba

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
2,796
2,000
Pamoja kuwa wewe ni CCM, kama wenzako mnafurahia Mbowe kubambikiwa kesi, lakini tahadhali unayoitoa ni sawa, hakuna kudharau kitu chochote katika kesi. Waje , wasije ni kujiandaa by 1,000,000,000 times for anything to come or might come.....
Sorry mkuu. I am not a CCM member. I'm just cautioning. They may be for dirty tricks.
 

MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,258
2,000
u
Wakala wa shetani wewe!Laana ya Mungu na iwe juu yako ,familia Na ukoo wako.Mungu asikuchukue mapema ukashuhudia mateso ya familia yako Na wazazi wako
umisahau na mumewe pia
 

ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
11,178
2,000
Bado hamjasema ,mbinu ya kuwazodoa mawakili wanaofanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi ili kuwa discourage haitafanikiwa kumnusuru Mbowe ,kitakachomuokoa ni yeye kutoshiriki uovu anaotuhumiwa nao
Mwenye kazi/jukumu la kuthibitisha tuhuma ni yule alieleta mashitaka, yaani Jamhuri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom