KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Hatuwezi kupata maendeleo na bangi nyingi vichwani namna hii!update zinaendelea kuja......

Si waende tu Londoni (Songea) na Mulandani (Tukuyu) ili yaishesasa mtaendaje wakati mlimwambia raisi hakuna kuchanja covid-19
View attachment 1931749
View attachment 1931751
Habari za kazi pia poleni na majukumu wapendwa,
Itakumbukwa katika kampeni za uchaguzi jimbo la kawe, mgombea wa Chama cha mapinduzi ambaye ndiye mbunge wa sasa wa Kawe mh Askofu Gwajima, alituhaidi vijana wa kawe kwenda mji wa Birmingham na Vijana wa Birmingham kuja huku kawe,
Kumekua na ukimya hapo katikati juu ya safari hii lakini leo naomba kuwafahamisha juu ya kinachoendelea
mpaka sasa baadhi ya vijana wa kawe tumeisha jipanga na wiki ijayo tunatarajia kwenda ofisi ya mbunge atupe utaratibu wa jinsi ya kupata paspoti za kusafilia ili isije ikaleta sintofahamu,
Tutakwenda pia kupata tarehe Rasmi ya kuelekea Birmingham, kwani tunaamini Askofu ni Mcha Mungu hawezi kutoa ahadi za uongo mbele ya kadamnasi,
Tunashukuru sana kwani haikua rahisi sisi kufika Mji wa Birmingham jimbo la Michigan USA tunamshukuru sana Askofu pamoja na Chama cha mapinduzi kwa ujumla,
Tunaomba muendelee kuwa na subira tutawafahamisha kila kinachoendelea pia tunaiomba serikali Isiweke ugumu kwenye upatikanaji wa paspoti kwani safari hii itajumuisha watu wengi sana
vile vile tunaomba mamlaka husika wawe waangalifi sana ili wasije wakajichanganya na vijana ambao sio wa Kawe,
tunaomba na wabunge wengine muige mfano huu mzuri wa mbunge wa kawe kwani italeta manufaa kwa watanzania wengi, tutakaapofika Birmingham tutajifuza mengi kwa faida ya vizazi vijavyo
View attachment 1931778
update zinaendelea kuja......
wewe kama unatumia bangi unafikiri ni woteHatuwezi kupata maendeleo na bangi nyingi vichwani namna hii!
Kwanza sijui umesoma mpaka darasa la ngapi, maana hata unachoandika hukijui!wewe kama unatumia bangi unafikiri ni wote
nimesoma mpaka darasa la kwanzaKwanza sijui umesoma mpaka darasa la ngapi, maana hata unachoandika hukijui!
Haiwezekani.nimesoma mpaka darasa la kwanza
basi sawaHaiwezekani.
Ingekuwa hivyo habari yako hapo juu ingeeleweka zaidi kuliko ilivyo sasa.
Za miaka, miss you sana....Be careful na Hawa watu wanaojiita Man of God.
Unamkumbuka Kibwetele?
Ooh mrembo upo?Za miaka, miss you sana....
Nipo karibu tena rafiki....Ooh mrembo upo?
Mambo mengi tu muda ndio mchache, majukumu yameongezeka......
Utaratibu wa kwanza nyie wote na huyo kiongozi wenu askofu rashidi mnatakiwa mchanjwe na muwe na vyeti ndiyo mueze kupata visa
Kwahiyo chama cha mapinduzi kinagharamia nauli! Asante chama sikivu.View attachment 1931749
View attachment 1931751
Habari za kazi pia poleni na majukumu wapendwa,
Itakumbukwa katika kampeni za uchaguzi jimbo la kawe, mgombea wa Chama cha mapinduzi ambaye ndiye mbunge wa sasa wa Kawe mh Askofu Gwajima, alituhaidi vijana wa kawe kwenda mji wa Birmingham na Vijana wa Birmingham kuja huku kawe,
Kumekua na ukimya hapo katikati juu ya safari hii lakini leo naomba kuwafahamisha juu ya kinachoendelea
mpaka sasa baadhi ya vijana wa kawe tumeisha jipanga na wiki ijayo tunatarajia kwenda ofisi ya mbunge atupe utaratibu wa jinsi ya kupata paspoti za kusafilia ili isije ikaleta sintofahamu,
Tutakwenda pia kupata tarehe Rasmi ya kuelekea Birmingham, kwani tunaamini Askofu ni Mcha Mungu hawezi kutoa ahadi za uongo mbele ya kadamnasi,
Tunashukuru sana kwani haikua rahisi sisi kufika Mji wa Birmingham jimbo la Michigan USA tunamshukuru sana Askofu pamoja na Chama cha mapinduzi kwa ujumla,
Tunaomba muendelee kuwa na subira tutawafahamisha kila kinachoendelea pia tunaiomba serikali Isiweke ugumu kwenye upatikanaji wa paspoti kwani safari hii itajumuisha watu wengi sana
vile vile tunaomba mamlaka husika wawe waangalifi sana ili wasije wakajichanganya na vijana ambao sio wa Kawe,
tunaomba na wabunge wengine muige mfano huu mzuri wa mbunge wa kawe kwani italeta manufaa kwa watanzania wengi, tutakaapofika Birmingham tutajifuza mengi kwa faida ya vizazi vijavyo
View attachment 1931778
update zinaendelea kuja......
Tapeli gwajima anaweza kuahidi lolote. Mnakumbuka ahadi ya kumfufua Amina Chifupa? Basi tieni akilini mmeliwa mchana kweupe.View attachment 1931749
View attachment 1931751
Habari za kazi pia poleni na majukumu wapendwa,
Itakumbukwa katika kampeni za uchaguzi jimbo la kawe, mgombea wa Chama cha mapinduzi ambaye ndiye mbunge wa sasa wa Kawe mh Askofu Gwajima, alituhaidi vijana wa kawe kwenda mji wa Birmingham na Vijana wa Birmingham kuja huku kawe,
Kumekua na ukimya hapo katikati juu ya safari hii lakini leo naomba kuwafahamisha juu ya kinachoendelea
mpaka sasa baadhi ya vijana wa kawe tumeisha jipanga na wiki ijayo tunatarajia kwenda ofisi ya mbunge atupe utaratibu wa jinsi ya kupata paspoti za kusafilia ili isije ikaleta sintofahamu,
Tutakwenda pia kupata tarehe Rasmi ya kuelekea Birmingham, kwani tunaamini Askofu ni Mcha Mungu hawezi kutoa ahadi za uongo mbele ya kadamnasi,
Tunashukuru sana kwani haikua rahisi sisi kufika Mji wa Birmingham jimbo la Michigan USA tunamshukuru sana Askofu pamoja na Chama cha mapinduzi kwa ujumla,
Tunaomba muendelee kuwa na subira tutawafahamisha kila kinachoendelea pia tunaiomba serikali Isiweke ugumu kwenye upatikanaji wa paspoti kwani safari hii itajumuisha watu wengi sana
vile vile tunaomba mamlaka husika wawe waangalifi sana ili wasije wakajichanganya na vijana ambao sio wa Kawe,
tunaomba na wabunge wengine muige mfano huu mzuri wa mbunge wa kawe kwani italeta manufaa kwa watanzania wengi, tutakaapofika Birmingham tutajifuza mengi kwa faida ya vizazi vijavyo
View attachment 1931778
update zinaendelea kuja......
Kwahiyo chama cha mapinduzi kinagharamia nauli! Asante chama sikivu.
Mkuu ipo haja ya kuiboresha zaidi geography yako ya US. Ni ushauri tu lakini.Kuna mji wa birmingham upo jimbo la michigan marekani