Updates: Yanayojili Safari ya wanakawe kuelekea mji wa Birmingham Marekani

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
images (10).jpeg

FB_IMG_16311246230076061.jpg

Habari za kazi pia poleni na majukumu wapendwa,

Itakumbukwa katika kampeni za uchaguzi jimbo la kawe, mgombea wa Chama cha mapinduzi ambaye ndiye mbunge wa sasa wa Kawe mh Askofu Gwajima, alituhaidi vijana wa kawe kwenda mji wa Birmingham na Vijana wa Birmingham kuja huku kawe,

Kumekua na ukimya hapo katikati juu ya safari hii lakini leo naomba kuwafahamisha juu ya kinachoendelea

mpaka sasa baadhi ya vijana wa kawe tumeisha jipanga na wiki ijayo tunatarajia kwenda ofisi ya mbunge atupe utaratibu wa jinsi ya kupata paspoti za kusafilia ili isije ikaleta sintofahamu,

Tutakwenda pia kupata tarehe Rasmi ya kuelekea Birmingham, kwani tunaamini Askofu ni Mcha Mungu hawezi kutoa ahadi za uongo mbele ya kadamnasi,

Tunashukuru sana kwani haikua rahisi sisi kufika Mji wa Birmingham jimbo la Michigan USA tunamshukuru sana Askofu pamoja na Chama cha mapinduzi kwa ujumla,

Tunaomba muendelee kuwa na subira tutawafahamisha kila kinachoendelea pia tunaiomba serikali Isiweke ugumu kwenye upatikanaji wa paspoti kwani safari hii itajumuisha watu wengi sana

vile vile tunaomba mamlaka husika wawe waangalifi sana ili wasije wakajichanganya na vijana ambao sio wa Kawe,

tunaomba na wabunge wengine muige mfano huu mzuri wa mbunge wa kawe kwani italeta manufaa kwa watanzania wengi, tutakaapofika Birmingham tutajifuza mengi kwa faida ya vizazi vijavyo

IMG_20210910_112523.jpg

update zinaendelea kuja......
 
Mnataka kwenda Birmingham AL?

Sweet home Alabama, where the skies are so blue.....🎸🎤🎶🎼

😊😊
 
Nnavyoisema hiyo Birmingham kichwani mpk najikuta nakemea kimoyomoyo fire fire! Misamiati ya kigeni hii!.
 
View attachment 1931749

View attachment 1931751

Habari za kazi pia poleni na majukumu wapendwa,

Itakumbukwa katika kampeni za uchaguzi jimbo la kawe, mgombea wa Chama cha mapinduzi ambaye ndiye mbunge wa sasa wa Kawe mh Askofu Gwajima, alituhaidi vijana wa kawe kwenda mji wa Birmingham na Vijana wa Birmingham kuja huku kawe,

Kumekua na ukimya hapo katikati juu ya safari hii lakini leo naomba kuwafahamisha juu ya kinachoendelea

mpaka sasa baadhi ya vijana wa kawe tumeisha jipanga na wiki ijayo tunatarajia kwenda ofisi ya mbunge atupe utaratibu wa jinsi ya kupata paspoti za kusafilia ili isije ikaleta sintofahamu,

Tutakwenda pia kupata tarehe Rasmi ya kuelekea Birmingham, kwani tunaamini Askofu ni Mcha Mungu hawezi kutoa ahadi za uongo mbele ya kadamnasi,

Tunashukuru sana kwani haikua rahisi sisi kufika Mji wa Birmingham jimbo la Michigan USA tunamshukuru sana Askofu pamoja na Chama cha mapinduzi kwa ujumla,

Tunaomba muendelee kuwa na subira tutawafahamisha kila kinachoendelea pia tunaiomba serikali Isiweke ugumu kwenye upatikanaji wa paspoti kwani safari hii itajumuisha watu wengi sana

vile vile tunaomba mamlaka husika wawe waangalifi sana ili wasije wakajichanganya na vijana ambao sio wa Kawe,

tunaomba na wabunge wengine muige mfano huu mzuri wa mbunge wa kawe kwani italeta manufaa kwa watanzania wengi, tutakaapofika Birmingham tutajifuza mengi kwa faida ya vizazi vijavyo

View attachment 1931778

update zinaendelea kuja......
sasa mtaendaje wakati mlimwambia raisi hakuna kuchanja covid-19
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom