UPDATES: Ujenzi wa bomba labda gesi na reli ya Kati.

leiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
648
1,546
Kama tulivyoaminishwa hapo awali wakati wa kuweka makubaliano mbalimbali kuwa kabla mwaka huu haujaisha projects kubwa zingekuwa zimeanza.
Tofauti na matumani ya waTz wengi, bado tupo gizani hatujui ni nini hatima ya projects hizi.
Kwa yeyote mwenye UPDATES ya project tajwa na nyingine zilizoahidiwa atupe tuishi kwa matumaini zaidi.
 
zinaweza kuchelewa ila haimaanishi hazitakuwepo.

binafsi naamini hiyo miradi itaanza japo sijui lini hasa.

kwa updates zaid kasome uzi usemao

Anaye jua magufuli anatupeleka wapi atwambie
na

why magufuli's government sijui nini nini huko on splurge...
 
Kama tulivyoaminishwa hapo awali wakati wa kuweka makubaliano mbalimbali kuwa kabla mwaka huu haujaisha projects kubwa zingekuwa zimeanza.
Tofauti na matumani ya waTz wengi, bado tupo gizani hatujui ni nini hatima ya projects hizi.
Kwa yeyote mwenye UPDATES ya project tajwa na nyingine zilizoahidiwa atupe tuishi kwa matumaini zaidi.
Mkuu wewe ni mfanyabiashara wa mafuta? Au unakadigrii ka kuchimbia mafuta?
 
Back
Top Bottom