Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Yule kijana mtoto wa mchungaji Mwizarubi aliyekua anagombea kupitishwa kua mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm mjini Arusha ametupwa mbali kwenye kura na kuishia kujiaribia reputation yake na kanisa la baba yake. Kapata kura 2,1,45, na 9 kwenye baadhi ya kata. Hii ni aibu sana. Huyu jamaa yani kajiibisha sana.View attachment 272932View attachment 272933View attachment 272934View attachment 272935
HAKUNA AIBU WALA UDHALILISHAJI KWENYE SWALA KAMA HILI LA MAENDELEO YA JAMII KUJARIBU UONGOZI TENA WA KIDEMOKRASIA NA SIO WA UTEUZI, HITIMISHO NI KUWA AMETHUBUTU NA AMEWEZA CHANGAMOTO NI KUWA HAKUFANIKIWA.
 

Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom