Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

KURA ZA MAONI KASULU VIJIJINI CCM; Hiki ndio kinachoendelea

>Mwl Bunyaga atoa pingamizi (barua yabambwa akielezea hali ilivokuwa (rejea chini))
>adai kura ziliibiwa mchana kweupe, hujuma na ugushaji
>viongozi ccm wagawanyika kati ya wahujumu wachache na wapenda haki
 
Attachments

  • barua ya pingamizi kasulu vijini.jpg
    barua ya pingamizi kasulu vijini.jpg
    40.6 KB · Views: 638
  • matokeo halali.jpg
    matokeo halali.jpg
    29.9 KB · Views: 617
Sehemu nyingi haya mambo yametokea, na hii itasababisha watu kupiga kura za chuki na kuiangusha CCM.
 
Ni baada ya kura za maoni za ubunge kuchakachiliwa na kuibiwa wana ccm watangaza rasmi kujiunga na ukawa kama cha cha mapinduzi mkoa hakita tenda haki,naomba nikufafanulie wizi wa kura zilizopigwa na zilizopotea na idadi ya wagombea,kura zilizopigwa jumla ni 23000.
Maghembe kura 10000
Tadayo kura 9000
Magaro kura 500
Mahuna kura 220
Karia kura 200
zilizoharibika kura 50 Jumla yakura zilizoharibika na zilizopigwa ni 21400. hapo kunaupungufu wa kura 1600. ziko wapi? hapo ndio wana ccm wanahoji kama chama hakitatoa majibu yanayoeleweka tukutane Octoba 25,
naomba kuwasilisha
 
Tayari mgombea wa ukawa anapiga jaramba la kuingia mjengoni kiulainiiiii kama unanawaa
 
Ok ila tofautisha kula za maoni na kula za october kwani ni ngumu sn kwa hao raia kwa wakati huu ila ngoja tusubiri nn kitatokea 25 oct
 
du! inakuwaje kura zote za wagombea wote ziishie na 0. hadi zilizoharibika japokuwa inawezekana ila ni very rare tena ikiwa wagombea ni zaidi ya watatu
 
Kwahiyo wangeshinda wangeendelea kuiona CCM chama safi ila kwasababu wametoswa CCM si safi tena? na huko wanakoenda ndo hawatakatwa? anyway, tunawaomba wanakilimanjaro na Arusha wanaotaka kuondoka fanyeni haraka mtupishe msingoje kukatwa make ni aibu kusubiri ukatwe ..nendeni wana kwenda iacheni CCM yetu tusiokatwa
 
Ni baada ya kura za maoni za ubunge kuchakachiliwa na kuibiwa wana ccm watangaza rasmi kujiunga na ukawa kama cha cha mapinduzi mkoa hakita tenda haki,naomba nikufafanulie wizi wa kura zilizopigwa na zilizopotea na idadi ya wagombea,kura zilizopigwa jumla ni 23000.
Maghembe kura 10000
Tadayo kura 9000
Magaro kura 500
Mahuna kura 220
Karia kura 200
zilizoharibika kura 50 Jumla yakura zilizoharibika na zilizopigwa ni 21400. hapo kunaupungufu wa kura 1600. ziko wapi? hapo ndio wana ccm wanahoji kama chama hakitatoa majibu yanayoeleweka tukutane Octoba 25,
naomba kuwasilisha

How come number zote zinaishia na 0? Kuna uchakachuaji. No way!
 
Kwani akina nani walifaa zaidi ya hao? Kwanini? Je hawana sifa stahiki kushika hizo nafasi? Baba akiwa mwana CCM na mtoto wake kuna tatizo? Labda tulete sababu zingine za kuwapinga hao waloshinda, ila kurithishana sijui nini hizo ni blah blah tu. Ebu tuchunguze sekta nyingi hapa Tz kama mambo yapo sawa. Tanzania kuna tatizo kubwa sana kuliko tunavyofikiria.
 
Back
Top Bottom