Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

  • Thread starter Mathias Byabato
  • Start date
L

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Messages
10,047
Points
2,000
L

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2015
10,047 2,000
1. Halima Bulembo - 106
2. Zainab Katimba - 77
3. Juliana Masaburi - 62
4. Marium Ditopile - 62
5. Maria Kangole -57
6. Sophia Kizigo - 46
7. Jacqueline Mzindakaya - 45
Mhhhh...hayo majina.. watoto wa wenye chama
 
G

gery wa TB

New Member
Joined
Aug 4, 2015
Messages
2
Points
0
G

gery wa TB

New Member
Joined Aug 4, 2015
2 0
KURA ZA MAONI KASULU VIJIJINI CCM; Hiki ndio kinachoendelea

>Mwl Bunyaga atoa pingamizi (barua yabambwa akielezea hali ilivokuwa (rejea chini))
>adai kura ziliibiwa mchana kweupe, hujuma na ugushaji
>viongozi ccm wagawanyika kati ya wahujumu wachache na wapenda haki
 

Attachments:

Lyimo

Lyimo

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,825
Points
1,225
Lyimo

Lyimo

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,825 1,225
Sehemu nyingi haya mambo yametokea, na hii itasababisha watu kupiga kura za chuki na kuiangusha CCM.
 
kilambalambila

kilambalambila

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
8,351
Points
2,000
kilambalambila

kilambalambila

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
8,351 2,000
ukawa ishawajengea jeuri baadh ya watu, wanaleta fujo makusudi tu ili wapate sababu za kwenda ukawa
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
21,590
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
21,590 2,000
hakuna ubaya kama wafu wakizikana aiseeee.....
 
Kaisari

Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2012
Messages
3,289
Points
2,000
Kaisari

Kaisari

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2012
3,289 2,000
Hivi yule waziri wa habari utangazaji, Juma Nkamia yeye amepita?
 
K

Kirya

Senior Member
Joined
Dec 3, 2014
Messages
161
Points
0
K

Kirya

Senior Member
Joined Dec 3, 2014
161 0
Ni baada ya kura za maoni za ubunge kuchakachiliwa na kuibiwa wana ccm watangaza rasmi kujiunga na ukawa kama cha cha mapinduzi mkoa hakita tenda haki,naomba nikufafanulie wizi wa kura zilizopigwa na zilizopotea na idadi ya wagombea,kura zilizopigwa jumla ni 23000.
Maghembe kura 10000
Tadayo kura 9000
Magaro kura 500
Mahuna kura 220
Karia kura 200
zilizoharibika kura 50 Jumla yakura zilizoharibika na zilizopigwa ni 21400. hapo kunaupungufu wa kura 1600. ziko wapi? hapo ndio wana ccm wanahoji kama chama hakitatoa majibu yanayoeleweka tukutane Octoba 25,
naomba kuwasilisha
 
K

Kirya

Senior Member
Joined
Dec 3, 2014
Messages
161
Points
0
K

Kirya

Senior Member
Joined Dec 3, 2014
161 0
Tayari mgombea wa ukawa anapiga jaramba la kuingia mjengoni kiulainiiiii kama unanawaa
 
Msulibasi

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
4,514
Points
1,250
Msulibasi

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
4,514 1,250
mwanga ccm sana hapo bado watu wana mawazo ya azimio la arusha
 
I

inspire

Senior Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
123
Points
170
I

inspire

Senior Member
Joined Jul 31, 2015
123 170
Ok ila tofautisha kula za maoni na kula za october kwani ni ngumu sn kwa hao raia kwa wakati huu ila ngoja tusubiri nn kitatokea 25 oct
 
H

hajoma

Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
86
Points
95
H

hajoma

Member
Joined Jul 21, 2009
86 95
du! inakuwaje kura zote za wagombea wote ziishie na 0. hadi zilizoharibika japokuwa inawezekana ila ni very rare tena ikiwa wagombea ni zaidi ya watatu
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,369
Points
2,000
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,369 2,000
Kwahiyo wangeshinda wangeendelea kuiona CCM chama safi ila kwasababu wametoswa CCM si safi tena? na huko wanakoenda ndo hawatakatwa? anyway, tunawaomba wanakilimanjaro na Arusha wanaotaka kuondoka fanyeni haraka mtupishe msingoje kukatwa make ni aibu kusubiri ukatwe ..nendeni wana kwenda iacheni CCM yetu tusiokatwa
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Points
2,000
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 2,000
Ni baada ya kura za maoni za ubunge kuchakachiliwa na kuibiwa wana ccm watangaza rasmi kujiunga na ukawa kama cha cha mapinduzi mkoa hakita tenda haki,naomba nikufafanulie wizi wa kura zilizopigwa na zilizopotea na idadi ya wagombea,kura zilizopigwa jumla ni 23000.
Maghembe kura 10000
Tadayo kura 9000
Magaro kura 500
Mahuna kura 220
Karia kura 200
zilizoharibika kura 50 Jumla yakura zilizoharibika na zilizopigwa ni 21400. hapo kunaupungufu wa kura 1600. ziko wapi? hapo ndio wana ccm wanahoji kama chama hakitatoa majibu yanayoeleweka tukutane Octoba 25,
naomba kuwasilisha
How come number zote zinaishia na 0? Kuna uchakachuaji. No way!
 
binti kiziwi

binti kiziwi

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Messages
2,938
Points
2,000
binti kiziwi

binti kiziwi

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2014
2,938 2,000
Kwani akina nani walifaa zaidi ya hao? Kwanini? Je hawana sifa stahiki kushika hizo nafasi? Baba akiwa mwana CCM na mtoto wake kuna tatizo? Labda tulete sababu zingine za kuwapinga hao waloshinda, ila kurithishana sijui nini hizo ni blah blah tu. Ebu tuchunguze sekta nyingi hapa Tz kama mambo yapo sawa. Tanzania kuna tatizo kubwa sana kuliko tunavyofikiria.
 
naumbu

naumbu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
4,393
Points
2,000
naumbu

naumbu

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
4,393 2,000
Kangole huyu wa Tarime?basi mtoto wa mkulima kwishney
 
Last emperor

Last emperor

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
5,066
Points
2,000
Last emperor

Last emperor

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
5,066 2,000
Mbona wote ni watoto wa makada? Sio haki hii
 

Forum statistics

Threads 1,316,005
Members 505,466
Posts 31,876,263
Top