Updates: Madhara ya Mvua kubwa iliyonyesha maeneo ya Dar es Salaam

Usivae nguo nyekundu ww Heee utapigwa na radi shauri yako vaa nguo nyeupe na buluu hutopigwa na radi
 
We were landing at the time and our flight had to stay put for 20 minutes until we got an all clear for landing boy with the news of the Indonesia plane it got us all worried I was so glad when we landed safely
 
Oh inaoneka kwa mara ya kwanza umepanda ndege leo tangu umezaliwa, hongera dada.
 
Khaaa ni majanga
 
Attachments

  • 1419866737978.jpg
    1419866737978.jpg
    39.3 KB · Views: 374
Dhahiri moja ya madhara makubwa ya mvua ya leo ni kuziba kwa mifereji mingi hali inayosababisha mafuriko maeneo mengi na maji kujaa hususa barabarani

Naangali EATV sasa hivi wakazi wa Dar wanalalamika wakilaumu Serikali kwa miundo mbinu mibovu

swali: Je ni nani anayesababisha hali hii/nani alaumiwe?
 
Hili la mafuriko Dar baada ya kunyesha mvua hata kwa dakika chache ni tatizo kubwa linalojulikana miaka nenda miaka rudi, lakini Serikali haitengi fedha za kutosha ili kupanua drainage system iendane na hali halisi ya jiji la Dar ambalo linakadiriwa kuwa na wakazi milioni 5. Drainage system ya jiji bado ile ya mwaka 47 ambapo population ya jiji ilikuwa 200,000 tu.
 
huenda ni mradi kwa hisani ya watu fulani
Hili la mafuriko Dar baada ya kunyesha mvua hata kwa dakika chache ni tatizo kubwa linalojulikana miaka nenda miaka rudi, lakini Serikali haitengi fedha za kutosha ili kupanua drainage system iendane na hali halisi ya jiji la Dar ambalo linakadiriwa kuwa na wakazi milioni 5. Drainage system ya jiji bado ile ya mwaka 47 ambapo population ya jiji ilikuwa 200,000 tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dah!!!! Hali hii hata kuingia mitaani unaona kinyaa cha hali ya juu, uchafu uliokithiriri kila kona. Dar ni jiji chafu jamani duh!!

LMAO:becky::becky::becky:.

Sasa hao nao wako pekupeku hivyo wasije wakapata kichocho bure.
 
Back
Top Bottom