Updates: Madhara ya Corona Viruses kwa mnaopenda muvi

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,675
106,781
Mwaka huu kulikuua na muvi nyingi nzuri zinatarajiwa kutoka hasa miezi ya mwanzoni then shit happened..Corona.

Kwa wapenzi wa filamu tatakutana hapa kujuzana athari za Corona Viruses kwenye Movies Industry na MaCelebrites.
...
-UPDATES- #1
Mwigizaji Tom Hanks aliyecheza muvi ya Captain Philips mkewe wamegundulika na ugonjwa huu.
wapo hospital (wametengwa) nchini Australia
FB_IMG_15840825236427200.jpg
 
Dah ! Hii Corona naona soon inaenda kuleta mtikisiko wa kiuchumi, maana shughuli nyingi ambazo zilikuwa zikiingiza mapato zinasimama na kufungwa.
 
Back
Top Bottom