nipo royola, Jamaa bado wanalalia matokeo, niko hapa hapa saa nne usiku, inaeelekea ccm wako hooooooi. mnyika yuko na detailed result kutoka kila kituo, sidhani kama wataweza kuchakua, utakua muujiza, kuna takribani watu 150-200 hapa (mi nikiwa mmoja wao) tumekusanyika tunasubiri matokeo, kila gari inayoingia raia wanaizingira ili isisushe 'feki'