Elections 2010 Updates kutoka Royola every 10 minutes

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
nipo royola, Jamaa bado wanalalia matokeo, niko hapa hapa saa nne usiku, inaeelekea ccm wako hooooooi. mnyika yuko na detailed result kutoka kila kituo, sidhani kama wataweza kuchakua, utakua muujiza, kuna takribani watu 150-200 hapa (mi nikiwa mmoja wao) tumekusanyika tunasubiri matokeo, kila gari inayoingia raia wanaizingira ili isisushe 'feki'
 
Eheee, wadau kwa kweli hakikisheni mnakeshanao. Hatujasahau ya 2005. Hawaaminiki kabisa hao
 
kuna kila harufu ya vurugu hapa, lakini mnyika anacheza kura yake kwa umakini sana, joto liko juu sana, huu umati uko tayari kufanya fujo dk yoyote! mnyika and only mnyika wanataka kumsikia akiongea, hawasikii maelezo ya mtu yeyote
 
nipo royola, Jamaa bado wanalalia matokeo, niko hapa hapa saa nne usiku, inaeelekea ccm wako hooooooi. mnyika yuko na detailed result kutoka kila kituo, sidhani kama wataweza kuchakua, utakua muujiza, kuna takribani watu 150-200 hapa (mi nikiwa mmoja wao) tumekusanyika tunasubiri matokeo, kila gari inayoingia raia wanaizingira ili isisushe 'feki'

Uswe, msiishie kwenye kukagua magari tu, kama hali mbaya kura zinaweza kubebwa kwa njia yoyote, siyo lazima kwenye mabox. muwe mnakagua na mifuko ya watu, kofia, nk nk. hakuna kuamini mtu
 
sasa wameamua kuanza upya kuhesabu kura!

Du! Hapo noma, ni kosa kubwa sana kuanza kuhesabu kura upya kwani yanaposafirishwa hayo mabox jamaa wanayachakachua then wanakataa na wanawaconvice muhesabu upya na ndipo unaposhindwa rasmi. Kigoma mjini imetokea hiyo. shime jamani komaeni na matokeo ya awali toka vituoni
 
Nina hasira sana na hao wezi ccm, walimwibia mwaka 2005 alafu tena wanataka kufanya unyama wao. Mashwetani wakubwa hao.
 
point of correction wadau, sikumaanisha wameanza kuhesabu kura moja moja nooooo! walianza upya zoezi la kuzijumlisha kura kama zilivoletwa na mawakala kutoka kituoni, mnyika bado yuko katika nafasi nzuri, matokea ya awali lakini ya uhakika, mnyika kachukua jimbo, it is just a question of time kabla hawajamtangaza
 
nipo royola, Jamaa bado wanalalia matokeo, niko hapa hapa saa nne usiku, inaeelekea ccm wako hooooooi. mnyika yuko na detailed result kutoka kila kituo, sidhani kama wataweza kuchakua, utakua muujiza, kuna takribani watu 150-200 hapa (mi nikiwa mmoja wao) tumekusanyika tunasubiri matokeo, kila gari inayoingia raia wanaizingira ili isisushe 'feki'

Watakipata cha moto
 
hapa kimya, kiravu ameongeza watu ili kuongeza speed ya kujumlisha matokeo, watu wengine wameanza kuondoka (hii si dalili nzuri kwetu) lakini bado watu ni wengi, na wengi wako tayari kukesha, tetesi zilizopo hapa, ni kwamba ikifika usiku, watu wakishaondoka, matokeo yatangazwe! kama kuna wadau maeneo ya karibu, tafadhali njooni royola, kuongeza nguvu, ikifika saa saba watalegeza tu
 
ccm wapwambafu sana. sijui hawaoni aibu kuishi kwa ujizi ujizi tu???? hawajui sauti ya wananchi inawalilia juu ya vichwa vyao!!! haki itaendelea kutamalaki siku zote.
 
Hongera wanaharakati! Mi ndo niko kwenye gari la Mabibo nakuja huko Loyola kuongeza nguvu
 
nguvu ya umma imeikomboa nyamagana... mnyika ruhusu nguvu ya umma ifanyekazi hawa mafisadi hawana haya...
 
Fujo ikifanyika watapiga mabomu alaf wakat wa kurupushani ndo watachakachua. Msifanye fujo simamia mpaka wachoke wenyewe. Mwanza wamesarenda!
 
Back
Top Bottom