Updates kutoka igunga

Wakuu hebu tusaidieni sisi ambao cm zetu hazina uwezo.
Halafu hiyo chadematv inapatikanaje? Kwa dekoda au hata antena za kawaida?
 
Wakuu, nafananisha sauti ya mwandishi mwanamke anayemhoji babu huyo kuwa ni ya Ufoo Saro wa ITV, lakini sina hakika kama taarifa hii imeshaonyeshwa kwenye taarifa ya habari ya ITV. Pengine siku inaonyeshwa sikuwa na umeme au nilikuwa nimetune channel nyingine. Hebu nisaidieni, kuna aliyeiona taarifa hiyo ya kukamatwa balozi wa nyumba 10 aitwaye Ng'hobhoko Masele akiorodhesha majina ya watu kwenye ubalozi wake kwa misingi ya vyama vyao? Kazi ambayo alitumwa na M/kiti wa kitongoji aitwaye Isike. Kwa aliyeona taarifa hiyo atujuze, lakini kama haikutoka basi nina wasiwasi na wahariri wa ITV.
 
Kwa ufupi balozi amekamatwa huko Igunga akiorodhesha majina ya wapiga kura wa eneo lake (jina) namba ya kadi ya kupigia kura na kama ni wa Chadema basi anaweka Vema (anaweka tiki) na anasema ameambiwa na wmenyekiti wa kitingoji na wameambiwa mabalozi wote. Sasa ndo Chadema wamemkamata na wanamhoji jamaa anasema ukweli wote.

Kuhusu Chadema TV bado hawajazindua rasmi na sidhani kama TBC au ITV wanaweza kutangaza aibu kubwa kama hiyo kwa CCM. Cha kufanya nenda kwenye internet then utype "Chadema TV" alafu ufuate link inayosema You tube. Ndo wanaweka video ya matukio mbali mbali.

Nadhani nimekujibu
 
Naelekea huko, then I will come back shortly.
 
Ukishajua nini tatizo its good step 2 solve ze problem!kwa kuwa CDM wamegundua janja za ccm basi ukombozi waja
 
tuombe mbunge mwingine wa ccm apoteee tena, wajiuzuru au waache wenyewe kwa aibu
 
Hebu sikiliza hii video umsikilize Tundu Lissu anavyomuita Wassira.

[video=youtube_share;MzKQxULo6L8]http://youtu.be/MzKQxULo6L8[/video]
 
Ama kweli CHADEMA NI CHAMA MAKINI!, sasa magamba wamekoswa kabisa pa kupumulia badala yake wananing'iniza vijibastola kiunoni.
 
" KWA TUHUMA HIZO BASI TUNAWAHAMURU WAISLAMU WOTE NA WAPENDA AMANI WASIKIPIGIE KURA CHAMA HICHO"
Tangu lini watu wakaanza kuhukumiwa na jamii kwa tuhuma tu vitu ambavyo havijathibitika. CCM wanaweza kuwa wanafurahi
tamko hili lakini kuna siku litakuja ku cost vibaya sana siku za usoni. wanasiasa wengi waliocheza na dini mwisho wao haukuwa mzuri
kwa sababu unatumia dini ya Mungu kwa ajili ya political gain and that is wrong.
 
Wamezoea kudanganywa hawa na wao hawastuki. Waliahidiwa mahakama ya kadhi wakaipigia ccm kura nyingi lakini mwisho wa siku wametoswa.

Kama si kwakuwa ccm inaongozwa na mwenzao wasingekuwa wanaendelea kuiunga mko kwakuwa wanajihisi kama ni chama chao.
 
Back
Top Bottom