yanga bwana
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 300
- 47
Mkuu safari hii in kukata kiganja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwapongeze CCM kwani sasa hatutasikiatena ufisadi, na wale wotewaliobaki wakiwa na tuhuma hizo wametakasika!Huo ndo ukweli, wote walio hama ni baada ya kushindwa kura za maoni mjimboni mwao akiwemo fisadi papa.
hongeren bhana.. hivi chenge, jeikei, tibaijuka nao washaondoka eeh?Tuwapongeze CCM kwani sasa hatutasikiatena ufisadi, na wale wotewaliobaki wakiwa na tuhuma hizo wametakasika!
Inaonekana umeshakata Tamaa. Sasa jiandae kupata maendeleo ya kweli chini ya seriali ya UKAWA.Pigeni Sana kelele ila kura tunaiba mchana kweupe na msukuma atakuwa ikulu....
For yo info:
Nape hakuropoka kuwa Goli la mkono lipo kwa kubuni....Lipo na lishaandaliwa...
Pepo mwenyewe . . mshssss
Jk kweli kituko, hivi Masha si alikuwa waziri kwenye serikali yake? Ridhiwan si alikuwa kwenye kampuni yake????? mahoka!Ilikuwa ni tukio la akina Masha kuondoka ccm na kujiunga na CHADEMA, ndio ilikuwa breaking news
Kama kageuza chama cha kifamilia kwa nini kisife
ndugu zangu wana jf
jana nilikuwa nafuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka kiwanja cha tindigani kimandolo arusha ambapo mgombea urais na mgombea mwenza wa UKAWA wikitafuta wadhamini kwa taratibu za nec lakini kuna matukio ambayo hata aliposimama mwenyekiti wa taifa chadema mh mbowe alilisema kwa mujibu wa taratibu na kanuni za uchaguzi embu tuweke ushabiki wetu pembeni na tusije kumuharibia mgombea wetu kwa kuvunja kanuni za uchaguzi kwa kumuita mh lowassa RAIS wakati bado ni mgombea jamani magamba wamechanganyikiwa watatumia kila kuhakikisha UKAWA hawashindi tuwe makini kwenye kila eneo wasije pata kisingizio cha kumkata mgombea wetu nawaomba wana UKAWA kwa siku hizi sabini tuendelee kumwita mgombea urais mh lowassa na mgombea mwenza babu duni ole laizer
Bila kusahau Rais wa Manzese na Rais wa wasafi,teh teh!sio tatizo kuitwa raisi (kuna raisi wa TFF, chama cha ngumi nk.......)
Clock tower na kimandolu wapi na wapi.We unaijua arusha au umesimuliwa.