Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Pigeni Sana kelele ila kura tunaiba mchana kweupe na msukuma atakuwa ikulu....

For yo info:

Nape hakuropoka kuwa Goli la mkono lipo kwa kubuni....Lipo na lishaandaliwa...

Pepo mwenyewe . . mshssss
Inaonekana umeshakata Tamaa. Sasa jiandae kupata maendeleo ya kweli chini ya seriali ya UKAWA.
 
Kama kageuza chama cha kifamilia kwa nini kisife

DHAIFU took wananchi for garanted na kukifanya ccm chama cha watu wa Msoga; sasa ndio anazinduka na kugundua kuwa wenyewe wanataka nchi yao hivyo muda si mrefu yeye ndiye atakayeisoma namba!!
 
Ndugu zangu wana JF,

jana nilikuwa nafuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka kiwanja cha tindigani kimandolo arusha ambapo mgombea urais na mgombea mwenza wa UKAWA wikitafuta wadhamini kwa taratibu za NEC lakini kuna matukio ambayo hata aliposimama mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Mbowe alilisema kwa mujibu wa taratibu na kanuni za uchaguzi.

Embu tuweke ushabiki wetu pembeni na tusije kumuharibia mgombea wetu kwa kuvunja kanuni za uchaguzi kwa kumuita mh lowassa RAIS wakati bado ni mgombea.

Jamani magamba wamechanganyikiwa watatumia kila kuhakikisha UKAWA hawashindi tuwe makini kwenye kila eneo wasije pata kisingizio cha kumkata mgombea wetu.

Nawaomba wana UKAWA kwa siku hizi sabini tuendelee kumwita mgombea urais mh lowassa na mgombea mwenza babu duni ole laizer
 
ndugu zangu wana jf
jana nilikuwa nafuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka kiwanja cha tindigani kimandolo arusha ambapo mgombea urais na mgombea mwenza wa UKAWA wikitafuta wadhamini kwa taratibu za nec lakini kuna matukio ambayo hata aliposimama mwenyekiti wa taifa chadema mh mbowe alilisema kwa mujibu wa taratibu na kanuni za uchaguzi embu tuweke ushabiki wetu pembeni na tusije kumuharibia mgombea wetu kwa kuvunja kanuni za uchaguzi kwa kumuita mh lowassa RAIS wakati bado ni mgombea jamani magamba wamechanganyikiwa watatumia kila kuhakikisha UKAWA hawashindi tuwe makini kwenye kila eneo wasije pata kisingizio cha kumkata mgombea wetu nawaomba wana UKAWA kwa siku hizi sabini tuendelee kumwita mgombea urais mh lowassa na mgombea mwenza babu duni ole laizer


Si ndie Rais wa Kaskazini?
 
Wamezoea kuona marais wa Tff sasa bado wanahisi anayetafutwa ni wa Tff ..bora uwaambie wachunge ndimi zao na mbatia pia aka sivyo yakiwakuta wasiseme bao la mkono
 
Rais wa mapedeshee!

Kuna laigwanani feki naye alimwita rais!NEC ikemee la sivyo ccm wakianza tuwe kimya
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa na Mkewe, Mama Regina Lowassa wakifanyiwa matambiko na Wazee (Malaigwanani) ya Kimasai, wakati wa Mkutano wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi pamoja na kutambulishwa kwa wananchi, uliofanyika Agosti 15, 2015, kwenye Uwanja wa Kimandolu, Jijini Arusha.
LO1.jpg


Hapa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa akipokea rungu kutoka kwa Mzee Nyinyajwangwa Laiza, mara baada ya Ibada ya kimila na Wazee (Malaigwanani) ya Kimasai, wakati wa Mkutano wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi pamoja na kutambulishwa kwa wananchi, uliofanyika Agosti 15, 2015, kwenye Uwanja wa Kimandolu, Jijini Arusha.
LO2.jpg

 
54 Reactions
Reply
Back
Top Bottom