Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

wababayangu

Member
Jul 17, 2021
66
150
Jeshi la Polisi Tanzania waache kutumiwa na CCM , hawaoni wenzao huko Zambia vyombo vyao vya dola vya ulinzi na usalama vilikataa kutumika vibaya na chama tawala kilichongolewa tarehe 12 August 2021.
Kiutaratibu au kimfumo chama tawala kikishindwa tu uchaguzi mara moja chama hicho hubadilika kuwa chama pinzani. Hivyo vyama vya upinzani Tanzania mwenzao kwa nchi ya Zambia ni chama kilichoshindwa na siyo chama kilichoshinda.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom