Updates - Kata za Bangata na Daraja 2, ccm Hali mbaya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Updates - Kata za Bangata na Daraja 2, ccm Hali mbaya.

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by ngurati, Oct 28, 2012.

 1. n

  ngurati JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimezunguka kwenye kata mbili, Daraja mbili- Arusha mjiji na Bangata-Arumeru Magharibi. Tangu Asubuhi watu wamemiminika vituoni na katika Hali ya kutaharuki ccm walitaka kuwafanyia vurugu Lema na Nassari lakini wananchi wakaingilia Kati, Wafuasi kadhaa aw ccm wamepigwa. Kwa Kweli Hali ya ccm ni mbaya to the extent kwamba ole Medeye amepita kanisani kuomba kura Leo. Kama mwenendo ndio huu CDM watashinda kata zote mbili.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ngoja nijiandae kuja kushuhudia utangazajia wa matokeo
   
 3. p

  pstar01884 Senior Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Safi sana. Kabeni njia zote wasipate mwanya wa kuchakachua.
   
 4. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kura za kanisani? Huyu mzee anatafuta laana
   
 5. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133  Big up.............!!
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Ccm haina chake nchi hii,mabavu ya majeshi tu ndio msaada mkubwa kwao.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mtaani kwangu kumeenea habari kuwa Lema na kikundi chake wamerusha risasi ovyoovyo kwenye eneo la uchaguzi.
  Vp kuna ukweli?
   
 8. C

  Concrete JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  WanaArusha tunawatakia uchaguzi mwema kwa kuindoa CCM madarakani.
   
 9. commited

  commited JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu mleta uzi, asante sana kwa taarifa, naomba na makamanda wengine nchi nzima kwenye chaguzi hizi mtupe up dates za ukweli juu ya kinachoendelea huko, hali ya usalama ikoje?, mwitikio wa watu ukoje? Tupeni hali inavyoendelea na kata zingine, hata mapicha pia mtupie .... Ni mawazo yangu tu
   
 10. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakabeni koo zaidi Hao Mabwepande:A S angry:
   
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Habari njema,tunasubiri matokeo kwa hamu kubwa.
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Diwani wa kata ya Bangata ni Ndugu Erick Samson Mollel- CDM amepata kura 1200 akifuatiwa na Mgombea wa CCM kwa kura 200. chezea chopa wewe.
  ikopta-iliyokodishwa-chadema-ikipita-juu-ya-anga-ya-igunga-baada-ya-kuwasili-jana-alasili-kwa-aj.jpg
   
 13. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  QUOTE=ngurati;4917043] ole Medeye amepita kanisani kuomba kura Leo. Kama mwenendo ndio huu CDM watashinda kata zote mbili.[/QUOTE]

  Kama kweli CCM wako fair kwa dini zote, aende na misikitini kuomba kura. Au kura za Waislamu hawazitaki?
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Matokeo tayari!???? usiniache niagize kreti na mbuzi nusu hapa
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  PakaJimmy haihitaji degree kujua huo ni uwongo, kwani Lema ana jeshi siku hizi hadi avurumishe risasi hewani????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  acha kuhadaa watu bana, matokeo ni kuanzia saa kumi ndiyo yataanza kutangazwa wewe haya umeyapata wapi???
   
 17. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Waiter Ongeza ya baridi na jikoni kausheni kidogo msisahau kachumbari please!
   
 18. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Labda anagombea uzee wa kanisa!
   
 19. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kanyaga twende cdm
   
 20. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Haya wakuu tujuzeni yanatoendelea huko.
   
Loading...