update za uchaguzi wa madiwani sehem mbalimbali

Status
Not open for further replies.

ulimbo lunopo

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
243
37
wadau mliopo sehemu ambako uchaguzi unafanyika tunaomba muwe na moyo wa kutujulisha jinsi mambo yanavyokwenda!!! @ mbunge wa ilula pale kilolo na wengine kote!! Aluta!.....
 
...tukio la mlipuko wa bom Arusha umefanya uchaguzi wa madiwani leo kwote nchi kukosa maana kabisa...kama watu unaotaka kuwaongoza unawaua utamwogoza nani?...
 
...tukio la mlipuko wa
bom Arusha umefanya uchaguzi wa madiwani leo kwote nchi kukosa maana
kabisa...kama watu unaotaka kuwaongoza unawaua utamwogoza
nani?...

nchi ya wapi iue watu wake. chadema mjipime upya c wasafi
 
nchi ya wapi iue watu wake. chadema mjipime upya c wasafi

Kuhusisha mlipuko kwenye mkutano wa CHADEMA ni sawa na kufikiria kuwa kuna mtu anaweza kuchoma nyumba yake aliyojenga mwenyewe. Ndio kujipima huko unakokutaka? Tutaheshimiana tu, just wait and see
 
Kwa comments hizi, huu uzi umeshapoteza mantiki. Tafadhali moderator naomba uutoe mpaka mtu atakayekuja na habari husika kwa kuhabarisha jamii yanayojiri kwenye chaguzi ndogo mbalimbali leo.
 
nchi ya wapi iue watu wake. chadema mjipime upya c wasafi

yani sikuelewi tangu asubuhi....na kila post unazojibu hapa, unaleta utani sanaaaaaaaaa... au unawek..wa nym nn?

acha mizaa kwenye mambo ya kitaifa wee, unaamini utaishi hivyo milele au, yan ungekua karibu ningekuchapa kibao kikali sanaaaaaa

sh**zi kabisa
 
Kaka mbona wapo watu wanachoma nyumba zao? Inategemea analengo gani? Labda anayaka insurance ilipe? So inategemea na lengo lakuchoma nyumba.
 
nchi ya wapi iue watu wake. chadema mjipime upya c wasafi
unamfahamu mwigulu nchemba? Huyu ndo mpangaji mkubwa wa mauaji kwenye mikutano ya wapinzani, ndiye aliyepanga kumdhuru mnyika kule Ndago, pia ndiye alipanga kuwaua wabunge wa cdm kule mwanza! Mwigulu ni janga kwa taifa!
 
Kaka mbona wapo watu wanachoma nyumba zao? Inategemea analengo gani? Labda anayaka insurance ilipe? So inategemea na lengo lakuchoma nyumba.

Mwenye akili ya kuchoma nyumba yake mwenyewe ili alipwe ujue ipo siku atajikata hata kiungo chake cha mwili ili alipwe, ikifikia hapo ujue ndo mwisho wake wa kufikili kitakachfuata aa..........
 
We mjinga sana.. Nyie nnaotupa mabom makanisani.. Yan kila mnpobana upinzan wa cdm lazima mlete maafa..
 
Mods ondoeni hii thread!
Haina maana kurushwa na member ambaye ni mzigo na anategemea update kwa wengine!

Mods acheni valuu njoni muitendee haki plse

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
wadau mliopo sehemu ambako uchaguzi unafanyika tunaomba muwe na moyo wa kutujulisha jinsi mambo yanavyokwenda!!! @ mbunge wa ilula pale kilolo na wengine kote!! Aluta!.....

Kamanda mambo magumu wewe acha tumechezea kichapo maeneo mengi pamoja ya kuwa tumeanza na mungu na tumemaliza na mungu, tusubiri Arusha nyumbani.
 
...tukio la mlipuko wa bom Arusha umefanya uchaguzi wa madiwani leo kwote nchi kukosa maana kabisa...kama watu unaotaka kuwaongoza unawaua utamwogoza nani?...

Kwa hiyo unataka kusea nini kamanda?
 
Mods ondoeni hii thread!
Haina maana kurushwa na member ambaye ni mzigo na anategemea update kwa wengine!

Mods acheni valuu njoni muitendee haki plse

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Wewe mbona unaandika thread nyingi za uongo mods wanakuacha.
 
mwenye matokeo ataanzisha thread yake ili kukomesha hii tabia ya kukurupuka. mia
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom