Update Oral ya tax officer

Jemedary

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
212
72
Wanajamvi mwenye updates yoyote ya oral kwa waliofanya post ya tax Leo naomba watupe ABC wamebase sehemu gan n professional au report za Ossoro na Mruma tena
 
Kama huna majibu ya maswali aliyouliza hi hekima na busara ni kitu cha msingi, badala ya kuchafua uzi wa mtu
 
Jiandae na maswali ya proffession husika na economics kwa ujumla pamoja na maswali yale common ya interview. All the best
 
Oral inakuwaga ngumu sana kama ukiulizwa maswali ya kawaida ambayo huyategemei, nilifanyaga oral moja upande wa power niliulizwa maswali ya O Level na A level, nashukuru mda wangu home nilikuwa nawafundisha madogo la sivyo ningechemka manake nilikomaa na midude migumu ya chuo alafu hamna hata moja.
 
sasa customs officer wengine wamesoma sociology, political science, public administration hapo watauliza prefession ipi sijui daah
 
Profession ya kaz ndo maswal yanakotoka na si ya nn umesomea...so kama ni tax waliuliza vitu vinavyohusiana na tax generally na si issue za report na etc
 
Profession ya kaz ndo maswal yanakotoka na si ya nn umesomea...so kama ni tax waliuliza vitu vinavyohusiana na tax generally na si issue za report na etc
mkuu kama nimekupata vizuri ni kua labda wamebase kwenye job description na vitu kama hivyo? ukiweza kufunguka vizuri itakua ni msaada mzuri kwa wengi
 
Back
Top Bottom