findu fiki
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 431
- 67
Unatamani?????vipi WANYAKYUSA wamekodiwa kuja kunogesha SHUGHULI!!!!!
Unatamani?????vipi WANYAKYUSA wamekodiwa kuja kunogesha SHUGHULI!!!!!
hivi kuna umuhimu wowote kumzika upya? hapo alipokuwa alikuwa hajapumzika kwa amani? napenda kujua tu na sio uchokozi...
Ndio hivyo Mkuu wala usishangae kwa Askofu kuzikwa Kanisani. Mbona wengine wakifa "hukamuliwa" ndani? Nyumba kibao hapa mtaani kwetu zina viraka sakafuni.
kwa hiyo kuna namna walifanya mwili usibadilike? i mean kuhifadhi mwili usiharibike?sorry for asking silly questions to His Eminence...aliomba azikwe hapo kanisani kabla hajafariki lakini ujenzi wake ukawa haujaisha wakati anafariki kwa hiyo akawa amezikwa kwa muda kule kashozi na ujenzi ulipoisha ndo anazikwa rasimi kanisani hapo kesho.
Ridhiwan bwana, ndio maana Magamba hupitisha miswaada pasipo hata kuisoma. Yaani story yenyewe hata kurasa 2 haifiki umeshindwa kuisoma yote vizuri? Si imeandikwa Kadinali alifariki "8[SUP]th[/SUP] December 1997 at 22.15 hours", au Ki-English ndio kimbembe?Alifariki lini Kardinali Rugambwa.
Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo.
Sijawahi enda kanisa lolote nikakuta kaburi ndani yake, vipi hii ni mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea Tanzania?
hahaa haaa, yaani anakwambia utaipata kabla jua halijazama du! Nimependa huo mkwara hadi wewe mwenyewe umetishika. Zamani tukiwa shule kama zinataka kupigwa basi mpambe mmoj anajitokeza kuchora mstari halafu anasema anayeweza avuke na mpambano unaanza. Nadhani nawe Ritz ungemjiu kwa mkwara kwamba ataona kabla asubuhi haijafika.
shule Rugambwa nakufurahia mlezi mama na rafiki yangu,RIP babu mkuu
Nakuomba unilinde nami nikulinde,,Rugambwa tutakukumbuka daimawaniongoza wanikumbatia niwe salama maishani mwangu eh Rugambwa aaah...mtajika...nakupenda ai.....
Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo.
Sijawahi enda kanisa lolote nikakuta kaburi ndani yake, vipi hii ni mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea Tanzania?
Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo.
Sijawahi enda kanisa lolote nikakuta kaburi ndani yake, vipi hii ni mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea Tanzania?
Mkuu hujui imetegwa hapa kwaajili ya ban?mode hii mada si mahala pake apa ihamishie kwenye jukwaa husika
Mkuu habari inajieleza mpaka tarehe aliyokufa na mwaka halafu unauliza Kama siyo kejeli nini? Bora niondoke kwenye huu Uzi kwasababu nimeshaona harufu ya banHivi nikuulize mie nimefanya kejeli gani?
Umeisoma thread au title tu? Soma maelezo mbona yapo tu?Alifariki lini Kardinali Rugambwa.