Update: Lwakatare akwama kupewa dhamana tena....hakimu alikuwa hajayapitia mafaili yake

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
[h=3]UPDATE: LWAKATARE AKWAMA KUPEWA DHAMANA TENA....HAKIMU ALIKUWA HAJAYAPITIA MAFAILI YAKE[/h]

Lwakatare (kulia) na mtuhumiwa mwenzake Ludovick wakiwa mahakamani leo.
Baadhi ya wanachadema waliofika mahakamani leo.
Lwakatare akifunguliwa pingu.


Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Muganyizi Lwakatare, kwa mara nyingine ameshindwa kuwekewa dhamana leo katika kesi inayomkabili ya kujaribu kumwekea sumu Dennis Msaki iliyosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisuru jijini Dar es Salaam.


Sababu za kuahirishwa kesi hiyo ni madai ya hakimu kuwa hakuweza kupata muda wa kupitia mafaili ya kesi hiyo maana alikuwa likizo. Lwakatare amerudishwa Segerea na kesi yake imetajwa kurudishwa mahakamani kesho (Leo) hii asubuhi (Juni 11 mwaka huu).



UPDATE: LWAKATARE AKWAMA KUPEWA DHAMANA TENA....HAKIMU ALIKUWA HAJAYAPITIA MAFAILI YAKE - MPEKUZI
 
Inmates' rights are denied because the judge was on vacation? Wow! Come on "judge"!
 
MziziMkavu hii habari ilishawekwa hapa jana kama Live Updates kutoka mahakamani...baada ya kuahirishwa jana leo asubuhi ndio ilikuwa siku ya Hakimu kutoa ama kutotoa dhamana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom