Update: Lwakatare akwama kupewa dhamana tena....hakimu alikuwa hajayapitia mafaili yake


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,028
Likes
5,490
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,028 5,490 280
[h=3]UPDATE: LWAKATARE AKWAMA KUPEWA DHAMANA TENA....HAKIMU ALIKUWA HAJAYAPITIA MAFAILI YAKE[/h]

Lwakatare (kulia) na mtuhumiwa mwenzake Ludovick wakiwa mahakamani leo.
Baadhi ya wanachadema waliofika mahakamani leo.
Lwakatare akifunguliwa pingu.


Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Muganyizi Lwakatare, kwa mara nyingine ameshindwa kuwekewa dhamana leo katika kesi inayomkabili ya kujaribu kumwekea sumu Dennis Msaki iliyosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisuru jijini Dar es Salaam.


Sababu za kuahirishwa kesi hiyo ni madai ya hakimu kuwa hakuweza kupata muda wa kupitia mafaili ya kesi hiyo maana alikuwa likizo. Lwakatare amerudishwa Segerea na kesi yake imetajwa kurudishwa mahakamani kesho (Leo) hii asubuhi (Juni 11 mwaka huu).UPDATE: LWAKATARE AKWAMA KUPEWA DHAMANA TENA....HAKIMU ALIKUWA HAJAYAPITIA MAFAILI YAKE - MPEKUZI
 
Y

ycam

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
821
Likes
990
Points
180
Y

ycam

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
821 990 180
Inmates' rights are denied because the judge was on vacation? Wow! Come on "judge"!
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,068
Likes
5,282
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,068 5,282 280
Hatimaye ameachiwa kwa dhamana
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,856
Likes
3,641
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,856 3,641 280
MziziMkavu hii habari ilishawekwa hapa jana kama Live Updates kutoka mahakamani...baada ya kuahirishwa jana leo asubuhi ndio ilikuwa siku ya Hakimu kutoa ama kutotoa dhamana
 
Last edited by a moderator:
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,068
Likes
5,282
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,068 5,282 280
mzizimkavu hii habari ilishawekwa hapa jana kama live updates kutoka mahakamani...baada ya kuahirishwa jana leo asubuhi ndio ilikuwa siku ya hakimu kutoa ama kutotoa dhamana
mpe update ya kiukweliii sasa
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,000