Upatikanaji wa Mifuko Mbadala(Non woven ) Machinga Complex kwa Bei ya Jumla

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
594
Mzigo mpya unawasili leo.

(Dar es salaam ) Njoo machinga Complex Upande wa Kutoka Ilala uliza GIN INVESTMENT Ghorofa ya Tatu. Upate mifuko kwa bei ya Jumla.

Size zilizopo ni
Hash 15
Hash 22
Hash 25
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0784160222.

Utapewa bei yake na maelezo zaidi. Au fika ofisini kuanzia Jumatatu.

IMG_20190614_173752_9.jpg
IMG_20190614_173725_1.jpg
IMG_20190613_202117_5.jpg
IMG_20190613_201941_BURST01.jpg
IMG_20190613_202022_8.jpg
 
nimeweka hapo namba za simu ili mwenye kuhitaji awasiliane na mdau ampe bei ambazo ni current
weka bei hapa .... unless otherwise hutomwona MTU hapa .... Kwanini mpaka uingie gharama nyingine ya simu au kusafiri mpaka ofisini .... useless
Weka bei mkuu


weka bei hapa .... unless otherwise hutomwona MTU hapa .... Kwanini mpaka uingie gharama nyingine ya simu au kusafiri mpaka ofisini .... useless
 
Jinga kabisa!!!kila Siku humu munaambiwa kuweka tangazo lililojitosheleza ikiwemo bei.Ingia alibaba uone mfano wake.Watanzania ujamaa umetulemaza sana
 
Back
Top Bottom