Upatikanaji wa matunda mbalimbali

Santieli

Member
Apr 30, 2014
57
75
Wasalaam.....
Jamani matunda yapo ya aina mbalimbali kutika maeneo tofauti tofauti ndani na nje ya nchi yetu Tanzania.
Matunda kwangu ninaiona kama bidhaa yenye fursa ya kujikwamua kiuchumi kwangu mimi....

Wazo kubwa ni kutengeneza JUICE za asili na kuziweka katika vifungashio maalum vyenye nembo ya kampuni yangu kusudi kukuza brand yangu....

JUICE hizo ninategemea kuuza maeneo ya sokoni, stand za magari, karibu na hospitali pia sehemu nyingine zilizo na msongamano....

Mahitaji yake najua ni friji, juicer, dispenser, vuti na meza za kutumia wateja.....

Juice hizo zinaweza tokana na mchanganyiko wa matunda haya:-
Nanasi
Embe
Chungwa
Parachichi
Tango
Tikiti maji
Mastakafeli
Passion
Limao
Tende
Ndizi
Papai
Mapera
Na matunda mengineyo......


OMBI LANGU;-
Naomba tujuzane matunda haya yanapatikana haswa mkoa gani na misimu yake ni ipi ili kuhakikisha biashara hii haina msimu....
Taja tunda, mkoa linakopatikana kwa wingi, msimu wake na gharama zake....
Tupeane mawazo ili kujikwamua kimaisha ....
Asanteni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
...la sijaelewa...means uchakate juice kienyeji tu upack uweke label?
Hapana mkuu..
Nacho maanisha mikoa ambayo inazalisha matunda ni ipi na ni aina gani ya natunda..

Mfano: Najua Mbeya maparachichi ni mengi na hayana msimu.
Ndizi najua pia Mbeya zinapatikana kwa wingi...
Je matunda mengine yanapatikana kwa wingi mikoa ipi na miezi ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu..
Nacho maanisha mikoa ambayo inazalisha matunda ni ipi na ni aina gani ya natunda..

Mfano: Najua Mbeya maparachichi ni mengi na hayana msimu.
Ndizi najua pia Mbeya zinapatikana kwa wingi...
Je matunda mengine yanapatikana kwa wingi mikoa ipi na miezi ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app


Nanasi geita! So mfano nanasi geita utafanyaje modal of production..
 
Nanasi geita! So mfano nanasi geita utafanyaje modal of production..
Mkuu nilikua nataka kujua mikoa na matunda yanayozalishwa baada ya hapo ni kufanya analysis...
Mfano mi nipo Morogoro nikijua embe nazipata Dodoma, malimao Iringa, tende Tanga hapo sasa nitajua namna gani nitapata enough supply ya matunda kwa ajili ya juice without a huge cost kwa ajili ya ku maximize profit na kuhakikisha costant supply kwa wateja wangu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom