Upatikanaji wa masoko ya mende hapa Tanzania


ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
11,209
Likes
2,766
Points
280

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
11,209 2,766 280
Kwa bahati nzuri sisi ni wafugaji wa kuku pamoja na bata pia. Hivyo kwa kiwango kikubwa tuliwapa kuku na bata ambao wanawapenda sana na kiwango fulani niliwala mimi mwenyewe kwani mengine waligoma.

Na mpaka sasa bado tunafuga kienyeji kwa ajili ya kuku na bata.

Pindi tukipata soko la uhakika tutaurejelea tena mradi wetu kwa kuboresha changamoto zilizojitokeza hapo awali, kwani tayani mwanga wa ufugaji wa wadudu hao tunao kwa kiwango fulani kizuri.
Ha ha ha naona mate yanajaa mdomoni, sijui ni ishara ya uchu au kichefuchefu
 

African Believer

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Messages
358
Likes
324
Points
80

African Believer

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2015
358 324 80
Kwa fik
Naona MTU anaanzisha maada na kujijibu mwenyewe kwa Multiple ID ili kuvuna wajinga
Kwa hizo fikra zako hatuwezi kufika kabisa, nianzishe mada ili nijijibu mwenyewe inisaidie nini. Muda ni mali nilichotaka mimi ni msaada pamoja na network ya kile ambacho nilipata kufanya.
 

African Believer

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Messages
358
Likes
324
Points
80

African Believer

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2015
358 324 80
Ha ha ha naona mate yanajaa mdomoni, sijui ni ishara ya uchu au kichefuchefu
Nahisi pindi ukipata moyo wa kuwaonja utabadili hiyo fikra nyingine.

Unajua kwa nini taswira ya kula mende mtu anapata kichefuchefu?

Ni kwa sababu mara nyingi huonekana chooni na sehemu nyingine chafuchafu, lakini akiwa kwenye mazingira bora basi waweza kuanza kuwapenda na kuwatamani.
 

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
15,476
Likes
20,752
Points
280

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
15,476 20,752 280
Jaribu kutembelea viwanda vya kutengeneza vyakula vya kuku.

Huwa wanaagiza dagaa kutoka Mikoa ya kanda ya ziwa kwa ajili ya kuku, dagaa wamekuwa adimu sana siku hizi.
Ukiwapelekea idea ya mende na ukawapa sample wakatengeneza chakula cha majaribio mabara dhen kikapelekwa kwenye real site na kikafanya vizuri, utakuwa umetusua.

Na sidhani ten kama watarudi kwenye dagaa
 

Chisaye

Senior Member
Joined
Feb 6, 2018
Messages
150
Likes
211
Points
60

Chisaye

Senior Member
Joined Feb 6, 2018
150 211 60
Ndugu wana JF

Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu lilipo soko la wanunuzi wa wadudu aina ya mende kwa matumizi ya chakula cha binadamu na wanyama.

Kwa kipindi cha nyuma nilibahatika kuona makala ya ufugaji wa mende katika televisioni ya kimataifa ya CNN ambapo mwandaaji alimtembelea mkulima mmoja aliyekua na shamba la kufugia mende. Katika mahojiano yao nilipata kutambua mende wana soko kubwa kwa sasa duniani kutokana na faida ambazo walizitaja. Na mwenye shamba lile ambaye ni Mchina alisema mende wanahitajika sana hasa na makampuni makubwa ya madawa (pharmaceutical companies) View attachment 788157

Kwa sababu nilipendezwa na makala ile nilimfuata ndugu yangu na kumpa wazo lile, awali alikataa lakini baada ya kumshawishi sana alikubaliana nami na tukaanza shamba la majaribio. Matokeo ya majaribio yale tulizalisha mende wengi sana, lakini ilituwia vigumu kutafuta na kupata soko jambo lililotulazimu kusitisha mradi ule.

Lengo la uzi wangu ni kujua kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa za upatikanaji wa soko la hao wadudu wenye faida nyingi pindi watumikapo kama chakula kwa binadamu na hata wanyama kwani wana kiwango kikubwa cha protini.
unatuzuga tu wewe na story zako za uongo, yan uanzishe mradi halafu usijue pa kuuzia ndo uanze kutafuta masoko?
 

Forum statistics

Threads 1,203,720
Members 456,939
Posts 28,126,351