Upatikanaji vyeti vyuo vikuu

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,819
22,921
Wadau wa JF wale ambao mmepitia vyuo vikuu vya nchi hii,hivi huu ukiritimba unaofanywa na vyuo vikuu almost vyote vya nchii hii katika kutoa vyeti pindi umalizapo chuo umekosa dawa kabisa!maana unamaliza chuo kupata cheti ni mbinde,karibuni tuchangie hili juu ya hili tatizo.
 
Labda kama unadaiwa lakini kama ushaclear kwanini wakusumbue ndg!
 
kuchukua cheti ni mwaka moja baada ya kumaliza elimu yako na hiyo ndivyo ninavyojua.
 
Back
Top Bottom